SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
- Thread starter
- #41
Leo tena kuna Uzi huu hapa.
Tanzania ni Shamba la Bibi , Kampuni za China zavuna Trilioni 11 huku Wazawa Wakiambulia Bilioni 600 za Miradi ya Ujenzi
Wakuu/Wahusika,
Sheria ya Takwimu inatoa na kuwapa Wajibu Ofisi ya Taifa ya Takwimu Licha kuwapa majukumu mengine, pia inawapa haki ya kupinga matumizi mabaya au tafsiri potofu ya taarifa za takwimu zinazosambazwa na mtu yeyote (hapa ni mwanhudhuri mwenzetu)ikiwa maelezo hayo ya takwimu yana makosa ya msingi au hayafuati kanuni zilizoainishwa chini ya sehemu 26(3).C
Yaani, ni ukiukwaji wa Sheria ya Takwimu, Statistics Act (revised 2019) Sehemu ya 26(2)(3) sehemu ndogo C