SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
- Thread starter
-
- #41
Umekosa kazi ya kufanya πππLeo tena kuna Uzi huu hapa.
Tanzania ni Shamba la Bibi , Kampuni za China zavuna Trilioni 11 huku Wazawa Wakiambulia Bilioni 600 za Miradi ya Ujenzi
Wakuu/Wahusika,
Sheria ya Takwimu inatoa na kuwapa Wajibu Ofisi ya Taifa ya Takwimu Licha kuwapa majukumu mengine, pia inawapa haki ya kupinga matumizi mabaya au tafsiri potofu ya taarifa za takwimu zinazosambazwa na mtu yeyote (hapa ni mwanhudhuri mwenzetu)ikiwa maelezo hayo ya takwimu yana makosa ya msingi au hayafuati kanuni zilizoainishwa chini ya sehemu 26(3).C
Yaani, ni ukiukwaji wa Sheria ya Takwimu, Statistics Act (revised 2019) Sehemu ya 26(2)(3) sehemu ndogo C
Magufuli mwenyewe alishindwa kuitumia baada ya kuona hajamsaidiaSheria ya Takwimu ni draconian, ilitengenezwa ku suit matakwa ya magufuli ambaye alikuwa hataki kukosolewa. Wenye akili wanajuwa wapi watoe data bila kusubiri NBS.
Sidhani kama NBS wana muda wa kufanya unachotaka
Unaweweseka nini sasa. Makosa uyafanye wewe unisingizie mimi na Ulichokifanya wewe.Umekosa kazi ya kufanya πππ
Tafuta kazi ya kufanyaUnaweweseka nini sasa. Makosa uyafanye wewe unisingizie mimi na Ulichokifanya wewe.
Huwezi ukawa unaleta Nyuzi za uchonganiahi baina ya Jamii nzima kwa Takwimu za kupika. Ukaachiwa.
Unakiuka miongozo ya Jamiiforums na hata kuiletea fedhea taaluma ya Uandishi wa Habari.
Unaweweseka wewe. Na hii ndio kazi yangu.Tafuta kazi ya kufanya
Wacha vitisho endeleza mjadala. Mabavu hayana nafasi kwa watu wastaarabu. Hii ni JF "where people dare to talk openly"Unaweweseka wewe. Na hii ndio kazi yangu.
Reducio ad absurdum
Kama ulikuwa hujii hivyo, basi ujue ndivyo hivyo
Na nilishwakwambia, wewe siku zako haziko mbali sana. Usifikiri hii multiduplicity hatuzijui.
Ana waharibia wenye taaluma zao, na anaharibia Jukwaa la JamiiForums .Wacha vitisho endeleza mjadala. Mabavu hayana nafasi kwa watu wastaarabu. Hii ni JF "where people dare to talk openly"