Je Papa anakufuru?

Dogo Msabato kapania kuwamaliza Wakatoliki [emoji23][emoji23][emoji23]
Kha! Huyu ndiye anayetaka kutuaminisha kuwa ukatoliki ni dhambi mbaya kuliko zote humu Duniani? Ila sishangai maana Wa7tho wanasifika kwa kuchepuka kingono hasa kuingilia ndoa za watu. Si kosa lao kwa kuwa wanafuata mila na desturi za Wayahudi ambao walitawaliwa na Warumi (Romans), hivyo kuwajengea chuki kwa vile walitawaliwa na kuteswa. Lakini je, huyu mleta mada ni Myahudi? Ningemuona wa maana kama angemuwekea bifu Mjerumani aliyetesa mababu zetu ingawa wao ni moja ya mataifa yanayowaheshimu sana Wakatoliki. Poor us, hata baada ya kupoteza mila/desturi zetu bado tunajiona tuko sahihi kushadadia mila za Wazungu na Waarabu! Mxiuuuu!
 
Izi uzi zilizo jaa umu kuusu papa na kanisa katoliki,, wala usipoteze muda wako hawa ni wasabato ndo wanasambaza ,,akili zao siku zote ziko nyuma
 
Kwani unaposikia waheshimu Baba yako na Mama yako unaelewa nini?
 
Ndugu zangu...Mpango wa Mungu kumuumba mwanadamu ni kuishi nae yani Mungu pamoja nasi ( Emanuel ) kumbuka Bustani ya Eden Mungu alivyoishi na Adam... Mpango huu wa Mungu bado upo pale pale baada ya Parapanda ya Mwisho Kupigwa na Malaika Mkuu yaani Siku ya Mwisho zitapita siku Elfu Moja za Dhiki kuu wakati huo Waliotwaliwa siku ya Parapanda watakaa Paradiso Kwa miaka Elfu na waliobaki hapa Duniani watapitia kipindi cha Dhiki Kuu kwa miaka Elfu moja ( HAKUNA KUNUNUA WALA KUUZA ISIPOKUWA UMEPIGWA ALAMA YA MNYAMA ) MARK OF THE BEAST " 666 " Baada ya miaka Elfu moja Nipo Hukumu ya Milele Itafanyika Wakwanza the Kuhukumiwa ni Shetani (Mbingu hii na nchi hii vitakunjwa kama karatasi na kutupwa motoni ) ... IMEANDIKWA KISHA NIKAONA MBINGU MPYA NA NCHI MPYA KUTOKA JUU MBINGUNI... Hapo Mungu Atakaa milele na watu waliomtii hapa Duniani kwa IMANI ALIYOIANZISHA YESU KRISTO TUISHINDANIE MARA MOJA TU... Imeandikwa MIMI NDIYE NJIA, KWELI, NA UZIMA... MTU HAJI KWA BABA ILA KUPITIA MIMI [HASHTAG]#YESU[/HASHTAG]...Agent mkuu wa mpinga Kristo "THE ANTICHRIST "...Ni hao waliochakachua BIBLIA wakaleta MISALE YA WAUMINI ili Kuilewesha Dunia kwa mvinyo wa mafundisho yake...imeandikwa OLEWAKO EWE MWANAMKE ULIYEILEWESHA DUNIA KWA MVINYO WA MAFUNDISHO YAKO.
 
Hii mada waislam na wakristo(mazehebu yote) watatetea upande wao sijajua wale wapagani inakuaje
 
Mimi sio msabato, mimi NIMEOKOKA nampenda Yesu.

Kitu ambacho kinanisikitisha ni pale watu wanamtetea ibilisi pasi hata kujistukia. Wewe bila aibu unatetea ibada za sanamu zinazoendelea huko makanisani kila siku, unaungama mbele za mwanadamu mwenzio na kuamini anasamehe dhambi, mwanadamu mwenzio anatoa maagizo yaliyo kinyume cha Biblia wewe hata huoni -kisa mnamwita papa! Mnafundishana mafundisho ya kipagani kama vile kumwabudu bikira maria, mafudisho ya rozari (ambayo hayako katika Biblia) maswala ya toharani - ambayo ni upagani mtupu!! ... Bado mtu yumo tu. Duuuuuh, nachoka kabisa
 
Quran ni kitabu cha shetan alichompa jamaa mmoja anaitwa muddy miaka ya 600s
Shetani ni mwenye laana na imeandikwa anae sulubiwa amelaaniwa. Ndio tunaloliona mashoga hawafungi ndoa na yule wenu alietundikwa hakuoa na baraka zake za ushoga tunaziona leo makanisa yanafungisha ndoa za mashoga. Wakatoliki wenyewe miaka nenda hawafungi ndoa wanachokifanya kinajulikana kashfa nyingi zimeibuka wanafirana na watawa wao. Na yule wenu alikua na vijana wake 12 wa kiume kazi ilikuwa ile ile kufirana tu. Kwa hiyo koma
 
Kukufuru ndio nini?

hiyo bibilia unoisoma wewe wakatoliki walikaa nayo miaka 1500 kuihariri kabla ya kutoka

wote walio kwenye bibilia wanoitwa watakatifu wamepewa huo utakatifu na wakatoliki

achana na huo ujinga, badala yake wekeza nguvu zako kwa kutenda mema na kuachana na uovu wote ktk maisha yako, uwapende watu wote bila ya kuwabagua, na uwasaidie pale unapojiweza,
 
Povuuuuuuuu

Ukweli unabaki uislamu ni zao la katoliki

Hauon hata sanamu jiwe jeusi mnaliabudu, wenzenu wana rozali ninyi mna tasbihi hirizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…