Mimi sio msabato, mimi NIMEOKOKA nampenda Yesu.
Kitu ambacho kinanisikitisha ni pale watu wanamtetea ibilisi pasi hata kujistukia. Wewe bila aibu unatetea ibada za sanamu zinazoendelea huko makanisani kila siku, unaungama mbele za mwanadamu mwenzio na kuamini anasamehe dhambi, mwanadamu mwenzio anatoa maagizo yaliyo kinyume cha Biblia wewe hata huoni -kisa mnamwita papa! Mnafundishana mafundisho ya kipagani kama vile kumwabudu bikira maria, mafudisho ya rozari (ambayo hayako katika Biblia) maswala ya toharani - ambayo ni upagani mtupu!! ... Bado mtu yumo tu. Duuuuuh, nachoka kabisa