Je Papa anakufuru?

Mchane maku huyo anafikiri yeye tu ndio anaweza kukashifu dini za wenzake tu kila mtu anajua kashfa
 
Mwacheni papa wetu. sie wahusika tunaelewa. Kila mtu aende zake kwenye dini/dhehebu linalomuhusu.
 
Biblia inasema Mungu anavutiwa na watakatifu waliopo duniani.
 
Acha upuuzi unatakiwa usali kila siku inamaana wewe unasali jmosi tu! Mungu yupo muda wowote
 
 

Hawa ndo wale wanaodandia gari bila kujua welekeo. Nimemshangaa sana.
 
Cheo kipi? Cha baba wa kukuzaa ,Mungu mwenyewe alikitoa toka awali ila HOLLY FATHER NI CHAKE PEKEE lakini wakatoliki wamekipora

Baba wa milele, Mungu mwenye nguvu, mfalme wa amani. Hivyo vyaweza kuwa vyeo vya Mungu lakini si baba mtakatifu. Utakatifu ni refence ya ecclesia anayoiongoza wala si yeye kama yeye. Halafu acha kushusha hadhi ya Mungu wetu! Mungu aporwe cheo!!!!!! Hahahahahaaaa basi huyo si Mungu mwenye nguvu! Halafu nawashangaa wasabato na walokole mbona mko obsessed na papa kuliko hata wakatoliki wenyewe? Malumbano ya zama za giza za ulaya yameshaisha. Nyie tu ndo mnahangaika kuwa papa atalazimisha Sunday law! Mtasubiri mpaka mjinyee! Hicho kitu hakipo!
 
Acha kujitoa ufahamu YESU mwenyewe kasema BABA MTAKATIFU ni Mungu ,

Tena linaitwa HOLLY FATHER

utakatifu wa mwanadamu unaitwa SAINT

Hakuna mwanadamu aliyewahi kufikia cheo cha HOLLY FATHER

Huyo papa amepewa na nan huo u HOLLYFATHER?
 
"Kanisa Katoliki... lina hofu kuu ya kumwaga damu. Hata hivyo, linapokabiliwa na UZUSHI [HERESY]... LINALAZIMIKA KUTUMIA NGUVU, kutoa adhabu ya kupigwa viboko mwilini, na KUTESA. Linaunda mahakama kama ile ya Inkwizisheni (Inquisition). Linatumia SHERIA ZA SERIKALI kulisaidia... Lilifanya hivyo hasa katika karne ile ya 16 kuhusiana na WAPROTESTANTI... Katika nchi ya Ufaransa, chini ya [wafalme] Francis I na Henry II, katika
nchi ya Uingereza chini ya (Malkia) Mary Tudor, [Kanisa Katoliki] liliwatesa wazushi."

Maneno haya yamenukuliwa kutoka katika kitabu cha 'THE CATHOLIC CHURCH, THE RENAISSANCE AND PROTESTANTISM', uk.182-184.

 
Ona haya Mafundisho machache ya uongo yanaweza kuorodheshwa kama ifuatavyo: badala ya Neno la Mungu, imeweka MAPOKEO; badala ya Roho Mtakatifu, imemweka PAPA; badala ya toleo moja tu la Kristo, imeweka MISA [toleo la kila siku]; badala ya ubatizo, imewekaKUNYUNYIZA; badala ya Meza ya Bwana, imeweka MKATE UNAOBADILIKA KABISA NA KUWA MWILI NA DAMU HALISI YA YESU (Transubstantiation); badala ya Sheria ya milele ya
Mungu, imeweka SHERIA ILIYOFANYIWA MAREKEBISHO [Amri Kumi]; badala ya Zaka;
imeweka KODI [Ushuru] na INDULGENSIA [kuuza vyeti vya msamaha wa dhambi]; badala ya mauti, imeweka MAHALI PA KUTAKASIA DHAMBI au TOHARANI (Purgatory); badala ya Muhuri wa Mungu, imeweka ALAMA [CHAPA] YA MNYAMA.

ROMAN CATHOLIC INAPOTEZA WATU JAMANI

 
Dai lile lile alilolisisitiza Shetani
katika nyika ile ya majaribu bado linasisitizwa naye [papa] kupitia katika Kanisa la
Roma, na idadi kubwa sana ya watu wako tayari kumsujudu yeye.


“Tunashikilia hapa duniani
mahali paMungu Mwenyezi."
Papa Leo wa 13,

Katika Barua yake ya Utume,
Juni 20, 1894.

 
Dai lile lile alilolisisitiza Shetani
katika nyika ile ya majaribu bado linasisitizwa naye [papa] kupitia katika Kanisa laRoma, na idadi kubwa sana ya watu wako tayari kumsujudu yeye.

“Tunashikilia hapa duniani
mahali paMungu Mwenyezi."
Papa Leo wa 13,
Katika Barua yake ya Utume,
Juni 20, 1894.

 
Mkuu kuna kitu haukijui ama hauajakitafakari,
Ipo hivi,vita ya shetani na MUNGU haikuishia mbinguni tu imekuja mpaka duniani,
Wasabato wa zama za Yesu walimtukana Yesu na kumuita ana pepo belizeburi na wakamuua,
Wasabato wa kizazi hili wanaendeleza kazi ya baba zao kwa kumtukana Papa na ukatoliki
 
Biblia pia inakataza tusimuite MTU baba ila aliye juu tu,lkn hata mdau aloleta Uzi huo anamuita Baba mzazi wake wa kiume na km yy mwanaume ipo siku ataitwa baba swali ni je atakuwa kampora jina Mungu wetu,
Jamaa anaakili finyu sana
 
Mkuu baada ya chuki na uzushi wako Vp umepata tiketi ya peponi baada ya kuzusha haya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…