Ona haya Mafundisho machache ya uongo yanaweza kuorodheshwa kama ifuatavyo: badala ya Neno la Mungu, imeweka MAPOKEO; badala ya Roho Mtakatifu, imemweka PAPA; badala ya toleo moja tu la Kristo, imeweka MISA [toleo la kila siku]; badala ya ubatizo, imewekaKUNYUNYIZA; badala ya Meza ya Bwana, imeweka MKATE UNAOBADILIKA KABISA NA KUWA MWILI NA DAMU HALISI YA YESU (Transubstantiation); badala ya Sheria ya milele ya
Mungu, imeweka SHERIA ILIYOFANYIWA MAREKEBISHO [Amri Kumi]; badala ya Zaka;
imeweka KODI [Ushuru] na INDULGENSIA [kuuza vyeti vya msamaha wa dhambi]; badala ya mauti, imeweka MAHALI PA KUTAKASIA DHAMBI au TOHARANI (Purgatory); badala ya Muhuri wa Mungu, imeweka ALAMA [CHAPA] YA MNYAMA.
ROMAN CATHOLIC INAPOTEZA WATU JAMANI