Je Papa anakufuru?


Usivyojua uongo una nukuu great controversy halafu anabwabwaja kuwa we siyo msabato! Hahahahaa! Halafu bado mnatuletea ya karne ya 16 wakati hiyo imebaki kwenye makabrasha ya historia! Hahahahaaaa
 
Acha kujitoa ufahamu YESU mwenyewe kasema BABA MTAKATIFU ni Mungu ,

Tena linaitwa HOLLY FATHER

utakatifu wa mwanadamu unaitwa SAINT

Hakuna mwanadamu aliyewahi kufikia cheo cha HOLLY FATHER

Huyo papa amepewa na nan huo u HOLLYFATHER?

Mi niambie wapi cheo cha Mungu ni holly father! Reference za kumtukuza Mungu ni nyingi sana sasa ninukulie wapi hiyo reference inamaanisha cheo cha Mungu!
 
Usivyojua uongo una nukuu great controversy halafu anabwabwaja kuwa we siyo msabato! Hahahahaa! Halafu bado mnatuletea ya karne ya 16 wakati hiyo imebaki kwenye makabrasha ya historia! Hahahahaaaa
Huna akili kweli wewe,

Hayo naneno ya kufuru ya papa, yamekuwa ya Great controversy?ni ukurasa upi?

Kwanza mimi sio msabato ,mm ni messianic faith dini ya kiyahudi huko israeli ndio msingi wake
 

Yani kaka hadi unatia huruma! Viongozi wa dunia wakienda vatican wanaenda kumwinamia papa? Pole sana. Ni ukweli usiopingika papa ni mtu kupata wageni wa heshima kwa mtu kama yeye ni kitu cha kawaida. Sasa wewe unataka iweje? Labda tuanzie hapo mkuu. Make papa hata akinyenyua mguu mnatetemeka. Hebu acheni upumbavu mmwogope Mungu pekee awezaye kuua vyote mwili na roho!
 
Wakuhurumiwa ni wewe ndugu unayeenda kupigia magoti sanamu na kuiabudu,



Kuhusu viongoz kwenda kwa papa , ni siri wewe huzijui, kama unaabudu masanamu, utaweza kung'amua kitu kidogo kama hicho?
 
Naona unahangaika Sana na kanisa katoliki kwa taarifa yako hilo ni kanisa la wote lililo anzishwa na Mungu mwenyewe achana na la kwako lililoanzishwa na Demu. Yaani wewe ni mbumbumbu kabisa unahangaika eti wanabatiza kwa kunyunyuzia maji kwahiyo watu wajangwani hawabatizwi? Tatizo elimu ndogo msiwe rigid wenzako wanabadilika kulingana na mazingira.kumbuka kusali ni wakati wowote unataka kutuaminisha jumapili Mungu yuko likizo hapokei maombi au wewe kwa namna yoyote jumapili husali hata kuombea chakula? Au unafikiri kusali ni kuingia kanisani tu. Nyie watu waajabu mtashindana lakini hamtashinda mfumo wa elimu unayo lingia umeanzishwa na wakatolic hiv nyie wasabato mna nin cha kujivunia katika dunia hii kama sio kutapatapa tu tulieni msali kama mnauhakika wakwenda mbinguni kwa nn mnahangaika hivo? Katolic ni kanisa la Mungu hutawaona hata siku moja wakihangaika Kama nyie Mala makambi kumbe uzinzi mtupu.
 
Mi niambie wapi cheo cha Mungu ni holly father! Reference za kumtukuza Mungu ni nyingi sana sasa ninukulie wapi hiyo reference inamaanisha cheo cha Mungu!
Ngoja kwa leo nikufafanulie makufuru mawili tu.

Kufuru la kwanza ni
madai ya kuwa yeye ni Mungu (Yoh. 10:30-33).

Kwa vipi? Nanukuu:

"Papa ana cheo kikubwa mno, tena ametukuzwa mno kiasi kwamba
yeye si mwanadamu tu, bali kama ilivyo ni Mungu, tena ndiye aliye Badala ya Mungu." ----- Lucius Ferraris, Prompta
Bibliotheca Canonica, Gombo la VI, uk. 438,442, chini ya makala
"Papa".

Cheo cha Mungu alichojinyakulia ni "Baba Mtakatifu"
(Yoh. 17:11).

Kufuru la pili ni kudai kuwa anao uwezo wakusamehe dhambi jukumu ambalo ni la Mungu peke yake (Luka
5:20,21).

Mungu peke yake ndiye anayeabudiwa (Mt. 4:10); lakini
papa anataka aabudiwe (2 The. 2:3,4; Ufu. 13:4,7,8,12).
Linganisha na Ufu. 13:1,5,6.


BADO UNABISHA TU?

 
Unahitaji roho wa Mungu utondokane na upagani

 
Mtahangaika Sana kupambana na wakatoliki lakini hamtaweza jengeni hoja zenu kama wakatoliki wanavyo jenga watu wanawaelewa wanakuwa wafasi wao nyie kama Mungu yuko upande wenu si awafunulie dunia nzima wawe sda angalieni mnahangaika lakini hampati wafasi ulishaona wakatoliki wanahubiri sehemu ya umma Kama jangwani furahisha au Soweto? Wanasali kimya kimya lakini bado wanapata wafasi wakutosha nyie sasa mnahangaika Sana lakini watu hawawaekewi jiulizeni mmejikwaa wapi?
 
Mtahangaika Sana kupambana na wakatoliki lakini hamtaweza jengeni hoja zenu kama wakatoliki wanavyo jenga watu wanawaelewa wanakuwa wafasi wao nyie kama Mungu yuko upande wenu si awafunulie dunia nzima wawe sda angalieni mnahangaika lakini hampati wafasi ulishaona wakatoliki wanahubiri sehemu ya umma Kama jangwani furahisha au Soweto? Wanasali kimya kimya lakini bado wanapata wafasi wakutosha nyie sasa mnahangaika Sana lakini watu hawawaekewi jiulizeni mmejikwaa wapi?
 
Tatiozo ni udi na uvumba unaofikizwa hapo au hiyo sanamu pembeni. Hiyo ni picha umeweka yenye tafsiri lukuki e mpumbavueeeeee! Mpaka mnatia kinyaa!
Sio dini itakayokupeleka mbinguni bali ni imani na matendo yako,
 
Hawa ni wale majamaa yaliyochanganyikiwa humo kanisani sijajua anafaidika na nini. Yupo kwa group letu la wasap alitaka kuleta issues za kisabato watu wakamnyea hakurudia tena huyo msukuma
 
kuna baba mzazi na wa kiroho, we vp!au unatokea kwenye ile dini ya sheitwan ya kujilipua
 
Hatuende mbinguni kwa kanisa wewe bwege kabisa hujui kumbe imani na huyo Mke wenu alie waletea dini ya usabato anawadanganya ili mvute wakatoliki mmepotea wamejiimarisha sana wakatoliki hutapambbana nao
 
Naona wamechoka kubishana siasa sasa wameamia kwenye dini
 
Wengi Wameitwa Lakini Wateule ni Wachache Yaani Kila Mahali Walokole ni Wachache Hiyo Ndio Njia Nyembamba iliyosonga... Yesu Kristo Alisema Nira Yangu ni Laini na Mzigo Wangu ni Mwepesi Mtu Haji Kwa Baba ila Kupitia Kwangu... Mimi Ndiye Njia Kweli na Uzima... akasema Ombeni lolote Kwa Jina Langu Nanyi Mtapewa... Vatican imekuletea Kuomba Kupitia Bikira Maria... Salam Mariaaa mama wa Mungu Utuombeee sisi Wakosaji na Yesu Uzao wako sijui nini...KIFUPI HAO WANAJIFANYA MALAIKA WA NURU LAKINI NI MAWAKALA WA KUZIMU DIRECT SKIA SAUTI ZAO ZIMEJAA UNYENYEKEVU WA KUDANGANYA YAANI SHETANI HAJI ISIPOKUWA KUCHINJA KUHARIBU NA .... Huyu mariam hana kibali au nafasi yakuombea watu mbele za Mungu...Amka mteule... Yesu ndio Password ya Maombi Yote Mbele za Mungu... Achana na mariam...Omba Mwenyewe Kwani Pazia la Hekalu Lilishapasuka katikati Hivyo Usingoje Mariam Akuombeee... Amen Ubarikiwe na Bwana wetu Yesu Kristo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…