Ngoja kwa leo nikufafanulie makufuru mawili tu.
Kufuru la kwanza ni
madai ya kuwa yeye ni Mungu (Yoh. 10:30-33).
Kwa vipi? Nanukuu:
"Papa ana cheo kikubwa mno, tena ametukuzwa mno kiasi kwamba
yeye si mwanadamu tu, bali kama ilivyo ni Mungu, tena ndiye aliye Badala ya Mungu." ----- Lucius Ferraris, Prompta
Bibliotheca Canonica, Gombo la VI, uk. 438,442, chini ya makala
"Papa".
Cheo cha Mungu alichojinyakulia ni "Baba Mtakatifu"
(Yoh. 17:11).
Kufuru la pili ni kudai kuwa anao uwezo wakusamehe dhambi jukumu ambalo ni la Mungu peke yake (Luka
5:20,21).
Mungu peke yake ndiye anayeabudiwa (Mt. 4:10); lakini
papa anataka aabudiwe (2 The. 2:3,4; Ufu. 13:4,7,8,12).
Linganisha na Ufu. 13:1,5,6.
BADO UNABISHA TU?