Je Papa anakufuru?

Je Papa anakufuru?

Kanisa la kweli ni yule mtu ambaye amemuamini YESU KRISTO KUWA BWANA NA MWOKOZI WAKE ..KWA iyo ROHO MTAKATIFU AKIWA NDANI YAKO NDANI YA MWILI WAKO(HEKALU) NDIO KANISA HILO LITAKUWA LA KWELI ILA KANISA KAMA JENGO HALIPO LA KWELI KWA KUWA JENGO AU TAASISI SIKU HIZI ZIMETEKWA NA YULE MWOVU ONA ..
WACHUNGAJI NA MAASKOFU WANAHALALISHA POMBE NA KUOA WANAWAKE ZAIDI YA MMOJA ..
Mbona unajikanganya kumbe unaujua ukweli kwamba kanisa la kweli ni nafsi iliyomkili YESU KRISTO moyoni mwake alafu unakazania wakatoliki kama kikundi au taasisi mbona usemei waingerza waloanzsha ushoga maana dhehebu kuu pale ni warutheri ambapo uwezi kua waziri mkuu kama so mrutheri ww nakuomba amini unchokiamini msalaba wako unakungojea mbona dini nyingi kama kikundi/taasisi wanatenda kinyume na maandiko na tunaona "Usiukumu usije ukaukumiwa " mungu tumtafutae atajiziirisha siku ya mwisho.
 
Papa ni mpinga kristo
Ndio atawafanya watu wapokee alama 666.kwa sababu amepewa mamlaka na mnyama ?lucifer mwenyewe
Ni papa yupi atawafanya watu kupokea 666 maana kuna mapapa wengi washatangulia kuanzia kwa Petro papa wa kwanza au na yeye humsadiki?,
 
Nionavyo Mimi Wasabato si waamini wa Kristo ingawa wansjiita hivyo. Ndio maana waitukuza siku ya saba ambayo Mungu alipumzika baada ya uumbaji ambayo ni jumamosi, na ile siku hiyohiyo mwaka ambayo Waizirael waliokolewa toka utumwanj. Lakini hawaijui na wala hawitambui siku ambayo Mwokozi wa Ulimwegu huu: alipozaliwa, alipoteswa had I kufa, alifufuka, alipowatokea Mitume kwa Mara ya kwanza, ulipomkabizi Petro achunge kodoo wake n.n . Ukweli huo viongozi wao wanujua Ila tu wanawafool waumini wao wasijue ili wendelee kuchuna
 
mkuu naona ule uzi umekutia mzuka ukaanzisha mwingine wa kufanana na ule ili mzuka wako upande zaidi.
Nakushauri tu unapoandika uzi wowote tulia andika vizuri utaeleweka!
Km utaamua kusoma biblia kwa matakwa yako hakika umepotea.

Rudia vzuri nukuu yako hapo juu hyo ya Mathayo 23:9,
hapa duniani baba aliyekuzaa /kiongoz wako wa dini mfano mchungaji unamuitaje?.Ukisoma mstari mmoja bila kuomba kibali cha roho mtakatifu uweze japo kuelewa aya moja tu katika biblia nzima hakika utakuwa unafanya KUFURU.

Na nimuhimu kwako ukatambua pia kila dhehebu,dini zinataratibu zake ili kuendelea kuleta amani na upendo katika jamii.
Mfano,Wakatoliki wana taratibu zao za kuabudu,za kulinda jamii inayowazunguka,za kusali!
Swala la kumuita kiongozi wao wa dhehebu Baba mtakatifu ni utaratibu wao hauna budi kuheshimu taratibu za wenzio ili kupata jamii inayoheshimiana.

Je unafahamu utaratibu wanaotumia kumtafuta baba mtakatifu?

Je unafahamu pia kwa kupitia utaratibu huo huo ndiyo kati ya dhehebu linaongoza katika kutoa huduma mbali mbali za kijamii kama elimu,afya,maji na chakula?

Mkuu ni bora ukatulia,ukaja na mada iliyoshiba na ushawishi wakutosha na siyo kunukuu mistari 2 ama 4 katika Biblia Takatifu ukaweka hapa kwa tafsiri ya matakwa yako!

Huyo roho anaesema na wakatoliki tu ni wawapi na ni roho gani huyo? mbona hujaweka mstari ktk Biblia kuonesha hilo?
Wacha porojo.

Biblia imekukataza kuita mtu baba, wewe umekazana tu. Unakufuru.
 
Manisa la Kristo ni moja tu, ni Kanisa Katoliki. Kanisa lililojengwa juu ya Mwamba ambae ni Petro. Baada ya kuuwa kwa kutetea Ukristo mrithi wa ofisi take ndea BabaMtakatifu 'Petro ni Mtakatifu na ndio maana ofisi yake ni Takatifu. Nyie wasabato muelewe kua Petro ndiye aliyekabiziwa funguo. Kanisa linapokufungia hapa Duniani ujue umefungiwa na Mbinguni and likewise.
Kwavile mmemhasi Petro sasa kazi kwenu. Ni hi mnaijua, na ndio maana mkisikia Kanisa Katoliki tu mnpagawa. Ni wasaliti wa Kristo ni mapepo tu yanayowapawisha.
Kristo akamwambia Petro - Wewe Ni Mwamba Na Juu Ya Mwamba Huu Kanisa Langu Nitalijenga. Ndio Kanisa Katoliki.
 
Ndugu unapewa ukweli ila kwa kuwa haujui ni kweli we endelea ila ni kweli hiyo Toka kwao uokoke bila hivo Jehanamu ya moto inakuhusu
.
Ivi wewe unajua asili ya neno jehanamu???!
 
Wakuhurumiwa ni wewe ndugu unayeenda kupigia magoti sanamu na kuiabudu,

65a8aec376362c89ea80e2a417b6d8f6.jpg

Kuhusu viongoz kwenda kwa papa , ni siri wewe huzijui, kama unaabudu masanamu, utaweza kung'amua kitu kidogo kama hicho?

Hahahahaaa hiyo siri umeijuaje kama si ndo ujuha? Hahahaha dah! Kweli mnatia huruma!
 
Ngoja kwa leo nikufafanulie makufuru mawili tu.

Kufuru la kwanza ni
madai ya kuwa yeye ni Mungu (Yoh. 10:30-33).

Kwa vipi? Nanukuu:

"Papa ana cheo kikubwa mno, tena ametukuzwa mno kiasi kwamba
yeye si mwanadamu tu, bali kama ilivyo ni Mungu, tena ndiye aliye Badala ya Mungu." ----- Lucius Ferraris, Prompta
Bibliotheca Canonica, Gombo la VI, uk. 438,442, chini ya makala
"Papa".

Cheo cha Mungu alichojinyakulia ni "Baba Mtakatifu"
(Yoh. 17:11).

Kufuru la pili ni kudai kuwa anao uwezo wakusamehe dhambi jukumu ambalo ni la Mungu peke yake (Luka
5:20,21).

Mungu peke yake ndiye anayeabudiwa (Mt. 4:10); lakini
papa anataka aabudiwe (2 The. 2:3,4; Ufu. 13:4,7,8,12).
Linganisha na Ufu. 13:1,5,6.

BADO UNABISHA TU?

84cc07e116797fc589da90bff0bf1f41.jpg

Kwa hiyo papa akiwa na Obama mnaharisha na makamasi yanawatoka? Kaka huo ni woga tena woga wa kipumbavu. Papa ni binadamu, anaomba kwa Mungu kama wengine, anasali tofauti ana menage kanisa katoliki! Kanisa katoliki linamafundisho yake kama huyaamini nashauri sepa! Kusamehe dhambi kunawapa shida gani. Kwanza nikusaidie hatusemi kusamehe dhambi bali kupatanisha, upatanisho au simlpy reconciliation. Ni swala tu la utaratibu ambao hulazimishwi! Bahati hata yeye anatubu. Hapo ndo swala la toba linawatoa makamsi.
 
catholics wanawafanya watu kuwa wakristu but makanisa mengine wana kazi ya kuwafanya wakristu kuwa wakristu.Hamtaweza kuieneza injil kwa uwezo wenu huu wa kufikir bcz mnatumia mda mwing kuipinga ukatoliki kuliko kuipinga uislam na upagan.
very poor analysis.nenda kwa wazungu ukawaulize kama dunian kuna mkatolik anaitwa holy father(baba mtakatifu) hapa dunian.
kwa cc wakotolik BABA WA MBINGUNI YU MMOJA BUT BABA WA DUNIAN WAPO WENG.
BABA WA MBINGUNI NI CHEO BUT KUITWA BABA DUNIAN C CHEO BUT NI MAJUKUMU.
punguzen kumkarir mungu jaman mnatakiwa kuielewa bible na c kuikarir.
Baba wa kiroho jukumu lake ni kumlea mwanadam katika jins ambayo itamfanya arud mbingun.Mungu hawez kumpinga baba wa kiroho but anambariki kutokana na kazi njema anayoifanya.
JINA NI NENO TU,UNLESS YU ATTACH A MEANING IN IT.NEXT TIME UKILETA JINA ULETE NA MAANA YAKE.
 
Manisa la Kristo ni moja tu, ni Kanisa Katoliki. Kanisa lililojengwa juu ya Mwamba ambae ni Petro. Baada ya kuuwa kwa kutetea Ukristo mrithi wa ofisi take ndea BabaMtakatifu 'Petro ni Mtakatifu na ndio maana ofisi yake ni Takatifu. Nyie wasabato muelewe kua Petro ndiye aliyekabiziwa funguo. Kanisa linapokufungia hapa Duniani ujue umefungiwa na Mbinguni and likewise.
Kwavile mmemhasi Petro sasa kazi kwenu. Ni hi mnaijua, na ndio maana mkisikia Kanisa Katoliki tu mnpagawa. Ni wasaliti wa Kristo ni mapepo tu yanayowapawisha.
Kristo akamwambia Petro - Wewe Ni Mwamba Na Juu Ya Mwamba Huu Kanisa Langu Nitalijenga. Ndio Kanisa Katoliki.
Petro =Jiwe au Mwamba... Kifupi Historia Unayotoa Iweke Sawa pengine unapotosha kwa maksudi au huijui vizuri ila elewa kwamba Shetani alijipanga kupinga ujio wa Yesu Kristo katika Nchi ya Israel kama Mfalme wa Wana wa Israel kumbuka Mungu Ndiye Aliyewaahidi Wana wa Israel Kuwaletea Mfalme ila Wana wa Israel Hawakuelewa Namna Mfalme Yesu Kristo Atakavyokuja Wao Wadhani Atakuja Kama Mfalme Wa Kawaida Kimwili... Mfano... "Mswati au Mohamed wa Morocco "!!!...Kumbe ni Mfalme wa Kiroho Yaani Mungu Mwenyewe Katika Hali ya Roho Na Ndio Maana Hadi Mwisho wa Dunia Israel Ni Taifa Teule la Mungu Kiufalme... Ndio maana WOKOVU UKAFIKA MATAIFA YOTE KWA WATU WOTE KWA NEEMA HIYO... Hivyo Wafalme wote Waliotawala na Kuwafanya Wana wa Israel Kuwa Watumwa Waliongozwa na Mkono wa Shetani Kupitia Roman Catholico.. Mfano... Mfalme Herode na Wengine Walitawala Misri na Israel ili Mungu Asifanikiwe Lakini Mungu ni Mungu Tuu...
 
Kwa hiyo papa akiwa na Obama mnaharisha na makamasi yanawatoka? Kaka huo ni woga tena woga wa kipumbavu. Papa ni binadamu, anaomba kwa Mungu kama wengine, anasali tofauti ana menage kanisa katoliki! Kanisa katoliki linamafundisho yake kama huyaamini nashauri sepa! Kusamehe dhambi kunawapa shida gani. Kwanza nikusaidie hatusemi kusamehe dhambi bali kupatanisha, upatanisho au simlpy reconciliation. Ni swala tu la utaratibu ambao hulazimishwi! Bahati hata yeye anatubu. Hapo ndo swala la toba linawatoa makamsi.
Unaenda kabisa kwa padri eti unansimulia dhambi zako

Duh
 
catholics wanawafanya watu kuwa wakristu but makanisa mengine wana kazi ya kuwafanya wakristu kuwa wakristu.Hamtaweza kuieneza injil kwa uwezo wenu huu wa kufikir bcz mnatumia mda mwing kuipinga ukatoliki kuliko kuipinga uislam na upagan.
very poor analysis.nenda kwa wazungu ukawaulize kama dunian kuna mkatolik anaitwa holy father(baba mtakatifu) hapa dunian.
kwa cc wakotolik BABA WA MBINGUNI YU MMOJA BUT BABA WA DUNIAN WAPO WENG.
BABA WA MBINGUNI NI CHEO BUT KUITWA BABA DUNIAN C CHEO BUT NI MAJUKUMU.
punguzen kumkarir mungu jaman mnatakiwa kuielewa bible na c kuikarir.
Baba wa kiroho jukumu lake ni kumlea mwanadam katika jins ambayo itamfanya arud mbingun.Mungu hawez kumpinga baba wa kiroho but anambariki kutokana na kazi njema anayoifanya.
JINA NI NENO TU,UNLESS YU ATTACH A MEANING IN IT.NEXT TIME UKILETA JINA ULETE NA MAANA YAKE.
Kwan ukatoliki sio upagani?
 
Back
Top Bottom