Je Papa anakufuru?

Je Papa anakufuru?

Quran ni kitabu cha shetan alichompa jamaa mmoja anaitwa muddy miaka ya 600s

لَتُبْلَوُنَّ فِي أَمْوَالِكُمْ وَأَنْفُسِكُمْ وَلَتَسْمَعُنَّ مِنَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ مِنْ قَبْلِكُمْ وَمِنَ الَّذِينَ أَشْرَكُوا أَذًى كَثِيرًا ۚ وَإِنْ تَصْبِرُوا وَتَتَّقُوا فَإِنَّ ذَٰلِكَ مِنْ عَزْمِ الْأُمُورِ


Hapana shaka yoyote mtapata misukosuko katika mali zenu na nafsi zenu, na bila ya shaka yoyote mtasikia udhia mwingi kutokana na walio pewa Kitabu kabla yenu na wale walio shiriki. Na ikiwa mtasubiri na mkamchamngu basi hakika hayo ni katika mambo ya kuazimia.
(Qur'an 186).

Waliopewa kitabu kabla yetu ni MAYAHUDI NA MANASARA

Hakuna hoja hata moja ataileta KAAFIR.
Ila hoja hiyo MOLA MLEZI alishatutahadharisha tangu karne ya 7 kupitia kwa mtume wake.
Nawe si wa kwanza ukisoma hapo katika tafsir "mtasikia Udhia yaani maudhi,kwani Kafiri atakuambia hiki ni kitabu cha masheitwaani lengo lake lake ni UKASIRIKE.
Ni kibaya zaidi sisi tunaviamini vitabu vyote walivyopewa mitume wa MOLA MLEZI,
na ukikipinga kimoja tu au kukikataa unatoka katika dini yaani
ZABURI YA DAUDI
TAURATI YA MUSSA
INJILI YA ISSA
QUR'AN YA MUHAMMAD

Na Kaafir atahangaika na qur an tu,lakin hutosikia akihangaika na Taurat,Zabur.
Na huyu si Kaafir wa kwanza kuyasema hayo washapita wengi tena wenye vitimbwi vya level ya Phd, sembuse huyu ambae hata akiulizwa leo kwanini wewe Nasara hatakuwa na jibu zaidi ya kukuambia nilizaliwa hivi.
 
Tumheshimu tu kama raisi wa Vatican hayo mambo ya Mungu weka pembeni . Kumbuka Yesu alihubiri kuhusu ufalme wa mbinguni na sio duniani .
 
l
Yule mwandishi wa Iran (aliyekimbilia uhamisho Ungereza)alisema Quran ni haya za nn vileee!!!
Mwandishi wa Iran ndio nani? uislamu unataratibu zake, jikite kwa Papa je anakufuru kujiita baba mtakatifu?
 
Dogo Msabato kapania kuwamaliza Wakatoliki [emoji23][emoji23][emoji23]
c5f0486b221458c98e53165793054c47.jpg
4925810b0f10e03925bfe74a54f09660.jpg
Jadili mada mkuu, wacha kujadili watu
 
Mwakilishi wa Mungu hapa duniani ni roho mtakatifu. So kuweka mtu mwenye dam na nyama kuwa mwakilishi ni dhambi kubwa
 
Povuuuuuuuu

Ukweli unabaki uislamu ni zao la katoliki

Hauon hata sanamu jiwe jeusi mnaliabudu, wenzenu wana rozali ninyi mna tasbihi hirizi
1.Jiwe jeusi sio SANAMU ni jiwe basi
2.Tasbihi ni uzushi kwa sababu hakuna popote Quran wala mtume alipofundisha, hivyo anaetumia ni matakwa yake sio uislamu
 
Kukufuru ni kujiweka ktk nafasi ya Mungu ingawa wewe ni mwanadamu Yohana 10:33 Wayahudi wakamjibu, kwa ajiri ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu wewe ulie mwanadamu wajifanya mwenyewe u Mungu. ---->hiyo ndo maana ya kukufuru. Kudai kuwa sawa na Mungu.
==>Isaya 14:13,14 Shetani alitamani kupaa juu kupita nyota za mbinguni ili afanane na Mungu, yaani akakae ktk nafasi ya Mungu.
==>Mwanzo Mwanzo 3:5 Shetani aliuingiza ulimwengu dhambini kwa kosa la kufuru yaani alimshawishi Eva akaidi agizo la Mungu amwahidi kuwa "atakuwa kama Mungu"-->hii ni kufuru!
WAKATOLIKI wana mwanadamu waliempa jina lenye wadhifa na wasifu wa Mungu peke yake, yaani " Baba Mtakatifu" Soma: Yohana 17:11Wala mimi simo tena ulimwenguni, lakini hawa wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba Mtakatifu, kwa jina lako ulilonipa uwalinde hawa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo.
Umeona hiyo aya inavobainisha kuwa "Baba Mtakatifu" ni jina la Mungu? Lakini Wakatoliki wana babao mtakatifu mwingine!!!!!? KUFURU!.


Mathayo 23:9 Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni. 10. Wala msiitwe viongozi; maana kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo.
a1c24a7039696fc400f2495b14f81a4b.jpg

Ndugu zangu aya hii ya 9, Mungu kakataa kuwa na ubia ktk jina lake la mamlaka linalobeba wadhifa wake. Kumwita mtu baba Mtakatifu na kiongozi mkuu wa dini ni KUFURU.
Mwenye masikio na asikie ambayo roho awaambia Wakatoliki. Mimi ni mjumbe tu kuwakumbusha yaliyokwisha bainishwa
6c9ad4bf3f1a83fb90dfe2d0b6c7f9d9.jpg
Gusa hapa uone linavyomiliki dunia Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
 
Back
Top Bottom