johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha niseme,makonda anaweza ila hafai,makonda ana ilani zake kichwani zinazomtosha yeye tu, huyo atakipasua chama akidhani anakijenga,pia WAZEE wengi walio ndani kabisa ya roho ya chama hawawezi kuelewana na falsafa zake,makonda anapenda kuwa na wafuasi wake binafsi,ni mtawala asiye na mipaka,asiyetaka kushauriwa wala kukosolewa,mtu wa vitisho na visasi,sasa pale chamwino kuna manguli ambao hawatakubali kukaliwa kichwani na nyoka mdogo kama makonda,hapo moto utawaka.
Aisee!Hivi mkuu huwa unapata muda wa kutafakari mambo? Maana ukikurupuka tu unakuja na thread.
Makonda awe Katibu Mkuu wa CCM? itakuwa aibu kuu.Acha niseme,makonda anaweza ila hafai,makonda ana ilani zake kichwani zinazomtosha yeye tu, huyo atakipasua chama akidhani anakijenga,pia WAZEE wengi walio ndani kabisa ya roho ya chama hawawezi kuelewana na falsafa zake,makonda anapenda kuwa na wafuasi wake binafsi,ni mtawala asiye na mipaka,asiyetaka kushauriwa wala kukosolewa,mtu wa vitisho na visasi,sasa pale chamwino kuna manguli ambao hawatakubali kukaliwa kichwani na nyoka mdogo kama makonda,hapo moto utawaka.
Katibu mkuu gani alikuwa msukuma?Hivi ni lazima Katibu mkuu wa CCM awe Msukuma?
Jibu swaliKatibu mkuu gani alikuwa msukuma?
Analipwa huyu wala usishangae kila thread 1,200/=Hivi mkuu huwa unapata muda wa kutafakari mambo? Maana ukikurupuka tu unakuja na thread.
Umeuliza kama ni lazima awe msukuma?Jibu swali
Chadema hata jero jero mmeshafeli maana mlipaji wa chama kwa sasa ni Halima James Mdee!Analipwa huyu wala usishangae kila thread 1,200/=