Je PBZ wanaruhusu kufanya topup loan... Vigezo gani wanataka

Je PBZ wanaruhusu kufanya topup loan... Vigezo gani wanataka

Ndio wanaruhusu vigezo ni vya mikopo vile vile
 
Samahani Kwa kukuingilia,Ni Bora ukachukue mkopo mpya bank nyingine kuliko kufanya Top up!
 
Back
Top Bottom