Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla hujajibu tazama hii video, mahaba yakae pembeni.
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee
Real madrid na marefa wanaendeleza mkataba wao wakushirikiana
Kabla hujajibu tazama hii video, mahaba yakae pembeni.
Au ingekuwaa n juve ndio wamepewa hyo penati walaa usingesikiaa hzii kelele Sema kwasababu n Madrid BC watu watachongaa sanaapenati sahihi, nadhani watu wanachomaindi zaidi muda ilipotoka penati, ila ingekuwa ndani ya mchezo kama dk ya 50 au 60 wala kusingekuwepo na msononeko.
Kabla hujajibu tazama hii video, mahaba yakae pembeni.
Wakimaindi sana achana nao hao ni mashabiki wa barca wambie mtaka vyote kwa pupa hukosa na sabaAu ingekuwaa n juve ndio wamepewa hyo penati walaa usingesikiaa hzii kelele Sema kwasababu n Madrid BC watu watachongaa sanaa