Je penalty ya jana RM vs Juve ilikuwa sahihi?

Je Penalty ilikuwa sahihi?

  • Total voters
    16

h120

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
2,544
Reaction score
3,361
Kabla hujajibu tazama hii video, mahaba yakae pembeni.

30604637_444762742619842_3724540083689226240_n.jpg
 
penati sahihi, nadhani watu wanachomaindi zaidi muda ilipotoka penati, ila ingekuwa ndani ya mchezo kama dk ya 50 au 60 wala kusingekuwepo na msononeko.
 
Au ingekuwaa n juve ndio wamepewa hyo penati walaa usingesikiaa hzii kelele Sema kwasababu n Madrid BC watu watachongaa sanaa
 
Wakimaindi sana achana nao hao ni mashabiki wa barca wambie mtaka vyote kwa pupa hukosa na saba
 
Back
Top Bottom