Je, pepo ya wanadamu wema ndiyo hiyo watakayoishi pia majini wema?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Naombeni mtupe Aya tafadhali vinginevyo kaeni kimya
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Je, majini hao watapewa zawadi ya mabikira takriban 70 kama ilivyo kwa wanadamu?
 
Yaani aiseee!

Ni Mtheolojia Gani, anayekubali Uwepo wa majini wema?

Hoja yako ni Kinzani dhidi ya Kundi ulilowauliza.
 
Dini ya Kiislamu ni ya Binadamu na Majini.
Maneno ya Qurani yanawasu Waislamu watu na Waislamu Majini.
Hivyo pepo yao ni moja na zawadi za huko peponi kwao ni zile zile zilizo tajwa kwenye Qurani na Hadithi zao.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Naombeni mtupe Aya tafadhali vinginevyo kaeni kimya

Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia

Naomba uweke aya au kifungu chochote kwenye Quran kinacho support ulicho kiandika; na kama huna kifungu kutoka kwenye Quran, nakushauri ufute!
Tumechoshwa na habari za hadithi hapa.....

Nashauri pia masuala ya dini yajibiwe na watu wa dini husika....Kitendo cha watu wa dini nyingine kujitokeza eti wanajibu kwa kupotosha ni uthibitisho kuwa....tuna ongoza kwa kuwa na watu wajinga!
 
Swali hilo kuna mtu nilimuuliza ambaye ni muislamu, siku chache tu zilizopita… alibaki kucheka tu… 😁😁😁
 
Yaani aiseee!

Ni Mtheolojia Gani, anayekubali Uwepo wa majini wema?

Hoja yako ni Kinzani dhidi ya Kundi ulilowauliza.
Wakristo wengi hawajui kwamba;

1. majini hayapo kwenye ukristo, yapo kwenye uislamu tu. bibilia ambayo haijatafsiriwa haitaji majini, bibilia ya kiingereza tu haitaji majini.

2. majini yamepewa hiyari, yanaweza kuchagua uovu au wema, kama binadamu

nadhani majini yaliingia kwenye bibilia ya kiswahili kwasbabu ya tafsiri mbaya, labda lilikosekana neno la kuwapa hao wahusika, na kipindi hicho misamiati ya kiarabu ilikuwepo sana, uislamu ulikuwa umeshafika zamani sana.

Demons ≠ Jinn

'Demons' ni neno la kiingereza ambalo linatumika kuashiria viumbe waasi kwenye imani/dini fulani, lakini hivyo viumbe vinakuwa na majina ya kipekee kutoka kwenye tamaduni zinazowaamini.

Mfano kiyahudi demons ni shedim

kiislamu demons ni shayatin
 
Asante kwa taarifa

As long as umekwisha kusema kuwa wakristo wengi hawajui!

Hiyo tayari inatosha kumjulisha muuliza swali kuwa hawezi kupata majibu kwa watheolojia.

That was my point!
 
majini ni mashetani, hayana hiari ya kuchagua mema au mabaya kwani hata yakitenga wema hayana thawabu, yalishahukumiwa sehemu yao ni katika ziwa la moto ndio maana yamekazana yakiwa na mfalme wao shetani kudanganya wanadamu ili waende nao motoni sehemu ambayo wao waliandaliwa kama adhabu. uislam ni mojawapo ya udanganyifu majini na mashetani yameleta ili kuwapata waislam waingie motoni. ukiwa muislam, lazima ukifa utaenda motoni. ila ukimpokea Yesu Kristo kuwa mwokozi wa maisha yako atakuokoa usiende motoni. tangu lini shetani akawa mwema? ukiona dini inashirikianana shetani, jua hiyo ni dini ya shetani, uislam unaswali na kushirikiana na majini hadi mle kwenye misikiti na hata wanafundishwa kuyafuga kwani wanaamini yapo mema na mazuri. mshindwe kwa Jina la Yesu Kristo. the devil is a liar.
 
Shetani ni cheo(Sifa) hata mwanadamu anaweza kuwa Shetani, Kwanza kuanzia lini nyie mkaamini katika majini nyie simnasema Shetani ni Malaika aliyeasi hauni ajabu Malika kuwa wema na wabaya ila unaona ajabu Majini kuwa wema na wabaya
 
sioni ajabu wewe kutetea majini, kwa sababu ni wenzako, mnaswali pamoja, mna dini moja, wote ni waislam, na mtaenda jehanum pamoja. labda niliweke kihivyo.
 
Najaribu kufikiria, hizo zawadi za Bikra 70 - itamchukua mtu siku ngapi kuzimaliza zote?
 
Back
Top Bottom