Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wewe umetowa aya zipi kama "premises" yako ya swali lako?Wadau hamjamboni nyote?
Naombeni mtupe Aya tafadhali vinginevyo kaeni kimya
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
kama unafaham mueleweshe, kama hujui ungekaa kimya tuWewe umetowa aya zipi kama "premises" yako ya swali lako?
Au unaota tu?
Kuna kitu kinaitwa kiburi cha mjinga (ignorant arrogance). Unakifaham?
Wadau hamjamboni nyote?
Naombeni mtupe Aya tafadhali vinginevyo kaeni kimya
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Wewe umetowa aya zipi kama "premises" yako ya swali lako?
Au unaota tu?
Kuna kitu kinaitwa kiburi cha mjinga (ignorant arrogance). Unakifaham?
Wakristo wengi hawajui kwamba;Yaani aiseee!
Ni Mtheolojia Gani, anayekubali Uwepo wa majini wema?
Hoja yako ni Kinzani dhidi ya Kundi ulilowauliza.
Asante kwa taarifaWakristo wengi hawajui kwamba;
1. majini hayapo kwenye ukristo, yapo kwenye uislamu tu. bibilia ambayo haijatafsiriwa haitaji majini, bibilia ya kiingereza tu haitaji majini.
2. majini yamepewa hiyari, yanaweza kuchagua uovu au wema, kama binadamu
nadhani majini yaliingia kwenye bibilia ya kiswahili kwasbabu ya tafsiri mbaya, labda lilikosekana neno la kuwapa hao wahusika, na kipindi hicho misamiati ya kiarabu ilikuwepo sana, uislamu ulikuwa umeshafika zamani sana.
Demons โ Jinn
'Demons' ni neno la kiingereza ambalo linatumika kuashiria viumbe waasi kwenye imani/dini fulani, lakini hivyo viumbe vinakuwa na majina ya kipekee kutoka kwenye tamaduni zinazowaamini.
Mfano kiyahudi demons ni shedim
kiislamu demons ni shayatin
anaweza mkuu๐hawezi kupata majibu kwa watheolojia.
๐๐๐ Ngoja nitaenda kumuuliza Askofu mwamakulaanaweza mkuu๐
watheolojia wanasoma dini zote sio ukristo tu
kwahiyo mtheolojia ambaye hafahamu kuna majini wema inabidi anyang'anywe vyeti.
Shetani ni cheo(Sifa) hata mwanadamu anaweza kuwa Shetani, Kwanza kuanzia lini nyie mkaamini katika majini nyie simnasema Shetani ni Malaika aliyeasi hauni ajabu Malika kuwa wema na wabaya ila unaona ajabu Majini kuwa wema na wabayamajini ni mashetani, hayana hiari ya kuchagua mema au mabaya kwani hata yakitenga wema hayana thawabu, yalishahukumiwa sehemu yao ni katika ziwa la moto ndio maana yamekazana yakiwa na mfalme wao shetani kudanganya wanadamu ili waende nao motoni sehemu ambayo wao waliandaliwa kama adhabu. uislam ni mojawapo ya udanganyifu majini na mashetani yameleta ili kuwapata waislam waingie motoni. ukiwa muislam, lazima ukifa utaenda motoni. ila ukimpokea Yesu Kristo kuwa mwokozi wa maisha yako atakuokoa usiende motoni. tangu lini shetani akawa mwema? ukiona dini inashirikianana shetani, jua hiyo ni dini ya shetani, uislam unaswali na kushirikiana na majini hadi mle kwenye misikiti na hata wanafundishwa kuyafuga kwani wanaamini yapo mema na mazuri. mshindwe kwa Jina la Yesu Kristo. the devil is a liar.
sioni ajabu wewe kutetea majini, kwa sababu ni wenzako, mnaswali pamoja, mna dini moja, wote ni waislam, na mtaenda jehanum pamoja. labda niliweke kihivyo.Shetani ni cheo(Sifa) hata mwanadamu anaweza kuwa Shetani, Kwanza kuanzia lini nyie mkaamini katika majini nyie simnasema Shetani ni Malaika aliyeasi hauni ajabu Malika kuwa wema na wabaya ila unaona ajabu Majini kuwa wema na wabaya