Cham Bee
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 3,516
- 1,854
Nimekuelewa..Matatizo ndio humaliza pesa,
Lakini pesa haiwezi kumaliza matatizo,
Ikiwa mpaka billgates nae anamatatizo Bado unadhani pesa inaweza kumaliza matatizo?
NEVER
.
N.B
Kuwa na pesa nyingi pia ni tatizo