Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] nimekukubali boyMatatizo ndio humaliza pesa,
Lakini pesa haiwezi kumaliza matatizo,
Ikiwa mpaka billgates nae anamatatizo Bado unadhani pesa inaweza kumaliza matatizo?
NEVER
.
N.B
Kuwa na pesa nyingi pia ni tatizo
yako mengi tu mkuu...mfano ndani ya ndoa and soon....unataka kuniambia wenye pesa wote awana matatizo...???Mfano tatizo gani halitatuliwi kwa pesa katika miaka hii ? Elezea fresh
[emoji120] [emoji120] [emoji120]yako mengi tu mkuu...mfano ndani ya ndoa and soon....unataka kuniambia wenye pesa wote awana matatizo...???
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Tupo pamoja mwana[emoji122] [emoji122] [emoji122] nimekukubali boy
Good idea your a great thinker
Labda wawe wanyama ndio hawaijui pesa maana pesa ipo tangu enzi za manabii.Duuh sidhani kama kunasehem hawaijui pesa karne hii
Pia hata wakikuhurumia na kukupa msos bure bado pesa itakuwa imehudika tuu kwasababu wao walijua kuwa kuna tatizo la njaa ndo maana wakaandaa chakula hicho na katika kukiandaa ndipo pesa ilipo tumika