SI KWELI Je, Picha hii ya Dr. Bessigye akiwa Lukwago gerezani, imechapishwa na Muhoozi Kainerugaba?

SI KWELI Je, Picha hii ya Dr. Bessigye akiwa Lukwago gerezani, imechapishwa na Muhoozi Kainerugaba?

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Source #1
View Source #1
Je, ni upi uhalisia wa picha hii?
1784619879229.png
 
Tunachokijua
Jenerali Muhoozi Kainerugaba ni mkuu wa majeshi wa Uganda, ambaye pia mtoto wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni.

MADAI.

Kumekuwepo na picha inayosambaa mtandaoni ikionyesha kiongozi wa chama pinzani Dr. Kizz Bessigye na Meya wa Kampala Erias Lukwago wakiwa pamoja gerezani na kudaiwa imechapishwa na Generali Muhoozi Kainerugaba katika ukurasa wake wa X.

UHALISIA.

Baada ya ufuatiliaji imeabainika kuwa madai hayo si ya kweli.

Ufuatiliaji umebaini kuwa picha ama Taarifa hiyo haijachapishwa na Jenerali Muhoozi kupitia ukurasa wake wa X kama ilivyodaiwa.

Aidha picha iliyotumika si halisi na baada ya ufuatiliaji kwa kutumia njia ya kubaini mauhui yaliyotengenezwa kwa AI inabainisha kuwa picha hiyo imetengenezwa kwa kutumia AI.
1784620202538-png.3634119
Back
Top Bottom