Jamani mambo magumu dunia nzima.Hapa ni waziri wa uhamiaji wa Poland akiongelea kuhusu nchi yake kuwa na kiwango kidogo cha machafuko, ugaidi na uharifu ambao umeongezeka zaidi katika nchi nyingine zilizoruhusu wahamiaji kiholela.
View: https://youtube.com/shorts/y9fY9ft7_5U?si=liV91sa-H96z5P-B
Hapa ni waziri wa uhamiaji wa Poland akiongelea kuhusu nchi yake kuwa na kiwango kidogo cha machafuko, ugaidi na uharifu ambao umeongezeka zaidi katika nchi nyingine zilizoruhusu wahamiaji kiholela.
View: https://youtube.com/shorts/y9fY9ft7_5U?si=liV91sa-H96z5P-B
Hapa ni vikosi vya usalama vya poland vikapambana na wahamiaji wanaotaka kuingia nchini kwao.
View: https://youtube.com/shorts/crwtyaXvPMs?si=l7pmfoMgyw1CL8x8
saf sana kla mtu abaki kwao wajenge nch yao kama wao mamb yakupenda lain akuna hukoHHahajja
Mkuu wahamiaji sio waarabu tu.Vitukuu vya mwamee vinasababisha vurungu nchi kwao wanataka kwenda kusumbua majiran zao
wako sahihi!! nikikumbuka mambo ya kibitiHapa ni waziri wa uhamiaji wa Poland akiongelea kuhusu nchi yake kuwa na kiwango kidogo cha machafuko, ugaidi na uharifu ambao umeongezeka zaidi katika nchi nyingine zilizoruhusu wahamiaji kiholela.
View: https://youtube.com/shorts/y9fY9ft7_5U?si=liV91sa-H96z5P-B
Hapa ni vikosi vya usalama vya poland vikapambana na wahamiaji wanaotaka kuingia nchini kwao.
View: https://youtube.com/shorts/crwtyaXvPMs?si=l7pmfoMgyw1CL8x8
Mkuu wahamiaji sio waarabu tu.
Kama ulikua hujui sasa hivi waarabu wanahama kwa idadi ndogo kuliko mwanzo kwasababu nchi zenye machafuko baadhi zimeanza kukaa sawa mathalan hiyo Syria kuna mikoa imeshaanza kusimama.
Wahamiaji wengi South Americans na West Africans.
Tena West Africans ndio wanaongoza kuvamia nchi za watu.
Mataifa duniani sasa hivi takriban yote yanakumbwa na sakata la ugumu wa ajira na mambo mengine.
Na ikitokea kuna insecurity kidogo tu mgeni kafanya jambo ndio linaamsha hasira za wazawa kabisa.
Tutulie tu makwetu aisee.
Viongozi wetu warekebishe mazingira ili maisha yaende sawa.
Msitake kwenda kula keki za taifa za walipa kodi wa watu.
Tushtumu nchi ambazo kazi kubwa ni kuzaana na kwenda kujaza nchi nyingine.Hapa ni waziri wa uhamiaji wa Poland akiongelea kuhusu nchi yake kuwa na kiwango kidogo cha machafuko, ugaidi na uharifu ambao umeongezeka zaidi katika nchi nyingine zilizoruhusu wahamiaji kiholela.
View: https://youtube.com/shorts/y9fY9ft7_5U?si=liV91sa-H96z5P-B
Hapa ni vikosi vya usalama vya poland vikapambana na wahamiaji wanaotaka kuingia nchini kwao.
View: https://youtube.com/shorts/crwtyaXvPMs?si=l7pmfoMgyw1CL8x8
Nimemshangaa sana.mkuu huyo jamaa anateswa na chuki za kidini, mchukulie tu
Yaani wewe unatamani watu waishi 'kiholela"? Unapenda "holela"? Why? Wewe unapenda maisha ya "holela"? Kwa nini?Hapa ni waziri wa uhamiaji wa Poland akiongelea kuhusu nchi yake kuwa na kiwango kidogo cha machafuko, ugaidi na uharifu ambao umeongezeka zaidi katika nchi nyingine zilizoruhusu wahamiaji kiholela.
View: https://youtube.com/shorts/y9fY9ft7_5U?si=liV91sa-H96z5P-B
Hapa ni vikosi vya usalama vya poland vikapambana na wahamiaji wanaotaka kuingia nchini kwao.
View: https://youtube.com/shorts/crwtyaXvPMs?si=l7pmfoMgyw1CL8x8
Wako sahihiHapa ni waziri wa uhamiaji wa Poland akiongelea kuhusu nchi yake kuwa na kiwango kidogo cha machafuko, ugaidi na uharifu ambao umeongezeka zaidi katika nchi nyingine zilizoruhusu wahamiaji kiholela.