Je, Poland na Hungary waitwe wabaguzi kwa kuweka ulinzi mkali na kuzuia wahamiaji kuingia kiholela katika mipaka yao.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Wamefikiria upande mmoja wa namna watakavyoweza kuwasaidia watakoingia nchini kwao,hivo hawataki kelele watakoshindwa kutimiza majukumu yao
 
Saf
Hapa ni waziri wa uhamiaji wa Poland akiongelea kuhusu nchi yake kuwa na kiwango kidogo cha machafuko, ugaidi na uharifu ambao umeongezeka zaidi katika nchi nyingine zilizoruhusu wahamiaji kiholela.

View: https://youtube.com/shorts/y9fY9ft7_5U?si=liV91sa-H96z5P-B

Hapa ni vikosi vya usalama vya poland vikapambana na wahamiaji wanaotaka kuingia nchini kwao.

View: https://youtube.com/shorts/crwtyaXvPMs?si=l7pmfoMgyw1CL8x8

saf sana kla mtu abaki kwao wajenge nch yao kama wao mamb yakupenda lain akuna huko
 
Vitukuu vya mwamee vinasababisha vurungu nchi kwao wanataka kwenda kusumbua majiran zao
Mkuu wahamiaji sio waarabu tu.
Kama ulikua hujui sasa hivi waarabu wanahama kwa idadi ndogo kuliko mwanzo kwasababu nchi zenye machafuko baadhi zimeanza kukaa sawa mathalan hiyo Syria kuna mikoa imeshaanza kusimama.
Wahamiaji wengi South Americans na West Africans.
Tena West Africans ndio wanaongoza kuvamia nchi za watu.
Mataifa duniani sasa hivi takriban yote yanakumbwa na sakata la ugumu wa ajira na mambo mengine.
Na ikitokea kuna insecurity kidogo tu mgeni kafanya jambo ndio linaamsha hasira za wazawa kabisa.
Tutulie tu makwetu aisee.
Viongozi wetu warekebishe mazingira ili maisha yaende sawa.
Msitake kwenda kula keki za taifa za walipa kodi wa watu.
 
Hapa ni waziri wa uhamiaji wa Poland akiongelea kuhusu nchi yake kuwa na kiwango kidogo cha machafuko, ugaidi na uharifu ambao umeongezeka zaidi katika nchi nyingine zilizoruhusu wahamiaji kiholela.

View: https://youtube.com/shorts/y9fY9ft7_5U?si=liV91sa-H96z5P-B

Hapa ni vikosi vya usalama vya poland vikapambana na wahamiaji wanaotaka kuingia nchini kwao.

View: https://youtube.com/shorts/crwtyaXvPMs?si=l7pmfoMgyw1CL8x8

wako sahihi!! nikikumbuka mambo ya kibiti
 
mkuu huyo jamaa anateswa na chuki za kidini, mchukulie tu
 
sasa hapo ubaguzi upo wapi? yani kulinda maslahi yako nayo pia ni ubaguzi?
 
Hapa ni waziri wa uhamiaji wa Poland akiongelea kuhusu nchi yake kuwa na kiwango kidogo cha machafuko, ugaidi na uharifu ambao umeongezeka zaidi katika nchi nyingine zilizoruhusu wahamiaji kiholela.

View: https://youtube.com/shorts/y9fY9ft7_5U?si=liV91sa-H96z5P-B

Hapa ni vikosi vya usalama vya poland vikapambana na wahamiaji wanaotaka kuingia nchini kwao.

View: https://youtube.com/shorts/crwtyaXvPMs?si=l7pmfoMgyw1CL8x8

Tushtumu nchi ambazo kazi kubwa ni kuzaana na kwenda kujaza nchi nyingine.
 
Hapa ni waziri wa uhamiaji wa Poland akiongelea kuhusu nchi yake kuwa na kiwango kidogo cha machafuko, ugaidi na uharifu ambao umeongezeka zaidi katika nchi nyingine zilizoruhusu wahamiaji kiholela.

View: https://youtube.com/shorts/y9fY9ft7_5U?si=liV91sa-H96z5P-B

Hapa ni vikosi vya usalama vya poland vikapambana na wahamiaji wanaotaka kuingia nchini kwao.

View: https://youtube.com/shorts/crwtyaXvPMs?si=l7pmfoMgyw1CL8x8

Yaani wewe unatamani watu waishi 'kiholela"? Unapenda "holela"? Why? Wewe unapenda maisha ya "holela"? Kwa nini?
 
Je unapojenga nyumba unaweka mlango, usiku unaufunga unalala wewe na watoto wako ilihali kuna watu wanalala nje huo ni ubaguzi? Kiujumla nikwamba auwezi kusaidia dunia yote, saidia walio wako kwanza, ukiwamudu unaweza kwenda kusaidia wa nje..
 
Back
Top Bottom