Je? Polepole anatumiwa na kanisa kuwachafua viongozi wetu?

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,598
Reaction score
9,539
Ni swali linalo ulizwa na watu wengi wengi, je polepole anatumiwa na nani kuichafua Serikali ya dkt Samia pamoja na viongozi wakuu wastaafu?
Je polepole anatumiwa na kanisa au ni yeye mwenyewe?
Sitaki kuamini kama kuna baadhi ya viongozi wa kanisa wanamtumia huyu polepole kuwachafua viongozibwetu.
Ushauri wangu, wale wote wanao shirikiana na polepole kuichafua Serikali hii ya awamu 6 chini ya dkt Samia waache mara moja kwani wanacho kifanya ni kitu kibaya sana, wanapanda chuki ambayo itadumu melele na itawaangamiza.

Tuombee nchi yetu amani katika uchaguzi mkuu na baada ya uchaguzi mkuu. Huwezi kuipata haki mahali ambapo hakuna amani.
Tusipandikize chuki ambazo zitabomoa umoja na mshikamano wa Taifa letu. Ifahamike kuwa Taifa letu limejengwa na watu wote wenye dini na hata wasiokuwa na dini. Nchi ikiharibika hakuna atakeye baki salama hivyo kila mmoja anao wajibu wa kukemea watu wanao leta chokochoko kama kina polepole na wenzake kwa nia ya kuvuruga amani na mshikamano wetu
Nawashauri viongozi wetu wa dini zote kujitenga na watu wenye nia ovu ya kuligawa Taifa letu kwa misingi ya kidini.
Mungu ibariki Tanzania.
 
Ni swali linalo ulizwa na watu wengi wengi, je polepole anatumiwa na nani kuichafua Serikali ya dkt Samia pamoja na viongozi wakuu wastaafu?
Je polepole anatumiwa na kanisa au ni yeye mwenyewe?
Sitaki kuamini kama kuna baadhi ya viongozi wa kanisa wanamtumia huyu polepole kuwachafua viongozibwetu.
Ushauri wangu, wale wote wanao shirikiana na polepole kuichafua Serikali hii ya awamu 6 chini ya dkt Samia waache mara moja kwani wanacho kifanya ni kitu kibaya sana, wanapanda chuki ambayo itadumu melele na itawaangamiza.

Tuombee nchi yetu amani katika uchaguzi mkuu na baada ya uchaguzi mkuu. Huwezi kuipata haki mahali ambapo hakuna amani.
Tusipandikize chuki ambazo zitabomoa umoja na mshikamano wa Taifa letu. Ifahamike kuwa Taifa letu limejengwa na watu wote wenye dini na hata wasiokuwa na dini. Nchi ikiharibika hakuna atakeye baki salama hivyo kila mmoja anao wajibu wa kukemea watu wanao leta chokochoko kama kina polepole na wenzake.
Mungu ibariki Tanzania.
Vacuous.
 
Serikali ya wananchi ipo kwa ajili ya wananchi. Siyo kwa ajili ya viongozi tu. Kunapokuwa na kasoro lazima zisemwe na kukemewa. Na ni swala la kikatiba wala si dhambi. Kwani Serikali zinaongozwa na watu wenye madhaifu ya kimwili.

Hata viongozi wetu wanaotawala wanakiri udhaifu wa katiba yetu ya 1977. Lakini ajabu hawataki kuigusa kwa sababu za kulinda mamlaka na madaraka yao. Huo ni ubinafsi na si uongozi. Polepole alikuwa miongoni mwao, lakini nafasi imemsuta na ameona ayaweke wazi. Kosa liko wapi ikiwa hata hizo nafasi zake ameziachia ?!

Democracy ni pamoja na kukubali kutokubaliana.
 
Ni swali linalo ulizwa na watu wengi wengi, je polepole anatumiwa na nani kuichafua Serikali ya dkt Samia pamoja na viongozi wakuu wastaafu?
Je polepole anatumiwa na kanisa au ni yeye mwenyewe?
Sitaki kuamini kama kuna baadhi ya viongozi wa kanisa wanamtumia huyu polepole kuwachafua viongozibwetu.
Ushauri wangu, wale wote wanao shirikiana na polepole kuichafua Serikali hii ya awamu 6 chini ya dkt Samia waache mara moja kwani wanacho kifanya ni kitu kibaya sana, wanapanda chuki ambayo itadumu melele na itawaangamiza.

Tuombee nchi yetu amani katika uchaguzi mkuu na baada ya uchaguzi mkuu. Huwezi kuipata haki mahali ambapo hakuna amani.
Tusipandikize chuki ambazo zitabomoa umoja na mshikamano wa Taifa letu. Ifahamike kuwa Taifa letu limejengwa na watu wote wenye dini na hata wasiokuwa na dini. Nchi ikiharibika hakuna atakeye baki salama hivyo kila mmoja anao wajibu wa kukemea watu wanao leta chokochoko kama kina polepole na wenzake.
Mungu ibariki Tanzania.
Anachoongea ni KWELI au UONGO?
 
Wacha longo longo:

IMG_20240428_070927.jpg

Bila hivyo tukiwakuta mnapambana na nyoka, atasaidiwa nyoka!
 
Ni swali linalo ulizwa na watu wengi wengi, je polepole anatumiwa na nani kuichafua Serikali ya dkt Samia pamoja na viongozi wakuu wastaafu?
Je polepole anatumiwa na kanisa au ni yeye mwenyewe?
Sitaki kuamini kama kuna baadhi ya viongozi wa kanisa wanamtumia huyu polepole kuwachafua viongozibwetu.
Ushauri wangu, wale wote wanao shirikiana na polepole kuichafua Serikali hii ya awamu 6 chini ya dkt Samia waache mara moja kwani wanacho kifanya ni kitu kibaya sana, wanapanda chuki ambayo itadumu melele na itawaangamiza.

Tuombee nchi yetu amani katika uchaguzi mkuu na baada ya uchaguzi mkuu. Huwezi kuipata haki mahali ambapo hakuna amani.
Tusipandikize chuki ambazo zitabomoa umoja na mshikamano wa Taifa letu. Ifahamike kuwa Taifa letu limejengwa na watu wote wenye dini na hata wasiokuwa na dini. Nchi ikiharibika hakuna atakeye baki salama hivyo kila mmoja anao wajibu wa kukemea watu wanao leta chokochoko kama kina polepole na wenzake.
Mungu ibariki Tanzania.
Huwa namkubali sana sana Nyerere ila katika mambo aliyoharibu ni kuchezea elimu yetu, japo alikuwa na nia nzuri kabisa. Matokeo yake alizalisha nchi ya mazezeta nayo ikazaa mizezeta mi-toto kila kona. Imefikia hatua asilimia kama 80 ya wananchi wanaamini kabisa mtu hawezi kufanya jambo mwenyewe hadi ''atumiwe''. Yaani nchi imekuwa na manamba oriented minds kiasi cha kudhani kila ukosoaji kwenye siasa unaambatana na mtu kutumwa!! Idiot!
 
Ni swali linalo ulizwa na watu wengi wengi, je polepole anatumiwa na nani kuichafua Serikali ya dkt Samia pamoja na viongozi wakuu wastaafu?
Je polepole anatumiwa na kanisa au ni yeye mwenyewe?
Sitaki kuamini kama kuna baadhi ya viongozi wa kanisa wanamtumia huyu polepole kuwachafua viongozibwetu.
Ushauri wangu, wale wote wanao shirikiana na polepole kuichafua Serikali hii ya awamu 6 chini ya dkt Samia waache mara moja kwani wanacho kifanya ni kitu kibaya sana, wanapanda chuki ambayo itadumu melele na itawaangamiza.

Tuombee nchi yetu amani katika uchaguzi mkuu na baada ya uchaguzi mkuu. Huwezi kuipata haki mahali ambapo hakuna amani.
Tusipandikize chuki ambazo zitabomoa umoja na mshikamano wa Taifa letu. Ifahamike kuwa Taifa letu limejengwa na watu wote wenye dini na hata wasiokuwa na dini. Nchi ikiharibika hakuna atakeye baki salama hivyo kila mmoja anao wajibu wa kukemea watu wanao leta chokochoko kama kina polepole na wenzake.
Mungu ibariki Tanzania.
Kwahiyo, tuseme na wewe umetumwa na serikali kuja kumchafua Polepole na kanisa?
 
Moja ya masomo ambayo nimepata bahati kuyasoma, na ambayo wengi wetu hatupati hiyo bahati, ni social & cultural anthropology. Moja ya maeneo ambayo nilikuwa nayo interest ni imani ya uchawi au simply uchawi. Na hii ni kwa sababu nimezaliwa katika jamii ambayo inaamini sana uchawi, na almost every tukio baya linahusishwa na uchawi, na matokeo yake tumechelewa sana kupata maendeleo ukilinganisha na jamii nyingine/sehemu zingine.

Jamii zinazoamini sana uchawi, swali linaloulizwa mara kwa mara jambo fulani likitojea/misfortune ikitokea mfano radi ikipiga na kuua, baa la njaa likitojea, au hata mlipuko wa maradhi, au jambo lolote, ni "nani kafanya haya, au nani yuko nyuma ya jambo hili?" Na si "Kwa nini jambo hili limetokea"?

Kwa swali la kwanza "nani kafanya, au nani yuko nyuma ya jambo hili?" anatafutwa mtu, na akishapatikana (iwe kweli, au isiwe kweli) ndiye atakayetwishwa zigo zima. Matokeo yake ni kumtafuta na kumshughulikia, na tatizo litaendelea kwa mwingine, na mwingine.

Kwa swali la pili, "Kwa nini jambo hili limetokea?" zinazotafutwa ni sababu za tatizo, na zikipatikana zitatafutiwa majibu, na ufumbuzi wa tatizo utapatikana.

Jamii ambazo zina'deal' na aina ya kwanza ya swali huwa mara nyingi zinabaki na matatizo yao mengi yasiyo na ufumbuzi. Jamii zinazo'deal' na aina ya pili ya swali zinapata ufumbuzi wa matatizo yao mengi, na zinapiga hatua ya maendeleo.

Unaweza ku'replace' neno "jamii" with mtu au watu. Katika mambo yaliyoibuliwa na Polepole tungeweza kujikita kwenye kutafuta tatizo ni nini, na huenda tungepata tatizo, na kulitafutia ufumbuzi. Lakini hilo si lengo letu. Lengo letu ni ama kumwona Polepole hafai au kutafuta nani aliye nyuma yake ili huyo ndiye abebe lawama zetu zote. Lakini je akibeba hizo lawama, tatizo litakuwa limeisha? Hapana, litaendelea kututafuna.

Hivyo, binafsi kusoma social & cultural anthropology kumenisaidia kuona ni kwa jinsi gani tunaweza kuamua kuwa sehemu ya tatizo, na kulifanya liendelee kututafuna, au kuamua kuwa sehemu ya ufumbuzi wa tatizo. It's a matter of our mindset, and our choice, but at a cost.
 
Makanisa yapo ya madhehebu mbali mbali Sasa unamaanisha yote au kuna moja unalilenga?
Tulimuona bi Kizimkazu majuzi kwa Mwamposya na pia huchangia kila harambee ya makanisa yote isipokuwa la Kakobe, Gwajima na Kiboko ya wachawi.
 
Hapa natoa ushauri kwa viongozi wote wa dini bila kujali madhehebu.
Kamwe tusipande mbegu za chuki kwenye Taifa letu, kwani chuki huzaa chuki.
Tusikubali kugawanywa kwa misingi ya kidini, kwani ubaguzi hupelekea mifarakano na machafuko.
Tusishabikie wala kuwa kimbelembele kwa maneno ya kichochezi.
 
Makanisa yapo ya madhehebu mbali mbali Sasa unamaanisha yote au kuna moja unalilenga?
Tulimuona bi Kizimkazu majuzi kwa Mwamposya na pia huchangia kila harambee ya makanisa yote isipokuwa la Kakobe, Gwajima na Kiboko ya wachawi.
Na tulishawahi kumuona JPM akichangisha hela kanisani za kwenda kujenga msikiti..!!

View: https://www.youtube.com/watch?v=rGwQhgjW0ZM
 
Back
Top Bottom