Vacuous.Ni swali linalo ulizwa na watu wengi wengi, je polepole anatumiwa na nani kuichafua Serikali ya dkt Samia pamoja na viongozi wakuu wastaafu?
Je polepole anatumiwa na kanisa au ni yeye mwenyewe?
Sitaki kuamini kama kuna baadhi ya viongozi wa kanisa wanamtumia huyu polepole kuwachafua viongozibwetu.
Ushauri wangu, wale wote wanao shirikiana na polepole kuichafua Serikali hii ya awamu 6 chini ya dkt Samia waache mara moja kwani wanacho kifanya ni kitu kibaya sana, wanapanda chuki ambayo itadumu melele na itawaangamiza.
Tuombee nchi yetu amani katika uchaguzi mkuu na baada ya uchaguzi mkuu. Huwezi kuipata haki mahali ambapo hakuna amani.
Tusipandikize chuki ambazo zitabomoa umoja na mshikamano wa Taifa letu. Ifahamike kuwa Taifa letu limejengwa na watu wote wenye dini na hata wasiokuwa na dini. Nchi ikiharibika hakuna atakeye baki salama hivyo kila mmoja anao wajibu wa kukemea watu wanao leta chokochoko kama kina polepole na wenzake.
Mungu ibariki Tanzania.
Serikali ya wananchi ipo kwa ajili ya wananchi. Siyo kwa ajili ya viongozi tu. Kunapokuwa na kasoro lazima zisemwe na kukemewa. Na ni swala la kikatiba wala si dhambi. Kwani Serikali zinaongozwa na watu wenye madhaifu ya kimwili.Ni swali linalo ulizwa na watu wengi wengi, je polepole anatumiwa na nani kuichafua Serikali ya dkt Samia pamoja na viongozi wakuu wastaafu?
Je polepole anatumiwa na kanisa au ni yeye mwenyewe?
Sitaki kuamini kama kuna baadhi ya viongozi wa kanisa wanamtumia huyu polepole kuwachafua viongozibwetu.
Ushauri wangu, wale wote wanao shirikiana na polepole kuichafua Serikali hii ya awamu 6 chini ya dkt Samia waache mara moja kwani wanacho kifanya ni kitu kibaya sana, wanapanda chuki ambayo itadumu melele na itawaangamiza.
Tuombee nchi yetu amani katika uchaguzi mkuu na baada ya uchaguzi mkuu. Huwezi kuipata haki mahali ambapo hakuna amani.
Tusipandikize chuki ambazo zitabomoa umoja na mshikamano wa Taifa letu. Ifahamike kuwa Taifa letu limejengwa na watu wote wenye dini na hata wasiokuwa na dini. Nchi ikiharibika hakuna atakeye baki salama hivyo kila mmoja anao wajibu wa kukemea watu wanao leta chokochoko kama kina polepole na wenzake.
Mungu ibariki Tanzania.
Anachoongea ni KWELI au UONGO?Ni swali linalo ulizwa na watu wengi wengi, je polepole anatumiwa na nani kuichafua Serikali ya dkt Samia pamoja na viongozi wakuu wastaafu?
Je polepole anatumiwa na kanisa au ni yeye mwenyewe?
Sitaki kuamini kama kuna baadhi ya viongozi wa kanisa wanamtumia huyu polepole kuwachafua viongozibwetu.
Ushauri wangu, wale wote wanao shirikiana na polepole kuichafua Serikali hii ya awamu 6 chini ya dkt Samia waache mara moja kwani wanacho kifanya ni kitu kibaya sana, wanapanda chuki ambayo itadumu melele na itawaangamiza.
Tuombee nchi yetu amani katika uchaguzi mkuu na baada ya uchaguzi mkuu. Huwezi kuipata haki mahali ambapo hakuna amani.
Tusipandikize chuki ambazo zitabomoa umoja na mshikamano wa Taifa letu. Ifahamike kuwa Taifa letu limejengwa na watu wote wenye dini na hata wasiokuwa na dini. Nchi ikiharibika hakuna atakeye baki salama hivyo kila mmoja anao wajibu wa kukemea watu wanao leta chokochoko kama kina polepole na wenzake.
Mungu ibariki Tanzania.
Ni swali linalo ulizwa na watu wengi wengi, je polepole anatumiwa na nani kuichafua Serikali ya dkt Samia pamoja na viongozi wakuu wastaafu?
Je polepole anatumiwa na kanisa au ni yeye mwenyewe?
Sitaki kuamini kama kuna baadhi ya viongozi wa kanisa wanamtumia huyu polepole kuwachafua viongozibwetu.
Ushauri wangu, wale wote wanao shirikiana na polepole kuichafua Serikali hii ya awamu 6 chini ya dkt Samia waache mara moja kwani wanacho kifanya ni kitu kibaya sana, wanapanda chuki ambayo itadumu melele na itawaangamiza.
Tuombee nchi yetu amani katika uchaguzi mkuu na baada ya uchaguzi mkuu. Huwezi kuipata haki mahali ambapo hakuna amani.
Tusipandikize chuki ambazo zitabomoa umoja na mshikamano wa Taifa letu. Ifahamike kuwa Taifa letu limejengwa na watu wote wenye dini na hata wasiokuwa na dini. Nchi ikiharibika hakuna atakeye baki salama hivyo kila mmoja anao wajibu wa kukemea watu wanao leta chokochoko kama kina polepole na wenzake.
Mungu ibariki Tanzania.
Huwa namkubali sana sana Nyerere ila katika mambo aliyoharibu ni kuchezea elimu yetu, japo alikuwa na nia nzuri kabisa. Matokeo yake alizalisha nchi ya mazezeta nayo ikazaa mizezeta mi-toto kila kona. Imefikia hatua asilimia kama 80 ya wananchi wanaamini kabisa mtu hawezi kufanya jambo mwenyewe hadi ''atumiwe''. Yaani nchi imekuwa na manamba oriented minds kiasi cha kudhani kila ukosoaji kwenye siasa unaambatana na mtu kutumwa!! Idiot!Ni swali linalo ulizwa na watu wengi wengi, je polepole anatumiwa na nani kuichafua Serikali ya dkt Samia pamoja na viongozi wakuu wastaafu?
Je polepole anatumiwa na kanisa au ni yeye mwenyewe?
Sitaki kuamini kama kuna baadhi ya viongozi wa kanisa wanamtumia huyu polepole kuwachafua viongozibwetu.
Ushauri wangu, wale wote wanao shirikiana na polepole kuichafua Serikali hii ya awamu 6 chini ya dkt Samia waache mara moja kwani wanacho kifanya ni kitu kibaya sana, wanapanda chuki ambayo itadumu melele na itawaangamiza.
Tuombee nchi yetu amani katika uchaguzi mkuu na baada ya uchaguzi mkuu. Huwezi kuipata haki mahali ambapo hakuna amani.
Tusipandikize chuki ambazo zitabomoa umoja na mshikamano wa Taifa letu. Ifahamike kuwa Taifa letu limejengwa na watu wote wenye dini na hata wasiokuwa na dini. Nchi ikiharibika hakuna atakeye baki salama hivyo kila mmoja anao wajibu wa kukemea watu wanao leta chokochoko kama kina polepole na wenzake.
Mungu ibariki Tanzania.
Kwahiyo, tuseme na wewe umetumwa na serikali kuja kumchafua Polepole na kanisa?Ni swali linalo ulizwa na watu wengi wengi, je polepole anatumiwa na nani kuichafua Serikali ya dkt Samia pamoja na viongozi wakuu wastaafu?
Je polepole anatumiwa na kanisa au ni yeye mwenyewe?
Sitaki kuamini kama kuna baadhi ya viongozi wa kanisa wanamtumia huyu polepole kuwachafua viongozibwetu.
Ushauri wangu, wale wote wanao shirikiana na polepole kuichafua Serikali hii ya awamu 6 chini ya dkt Samia waache mara moja kwani wanacho kifanya ni kitu kibaya sana, wanapanda chuki ambayo itadumu melele na itawaangamiza.
Tuombee nchi yetu amani katika uchaguzi mkuu na baada ya uchaguzi mkuu. Huwezi kuipata haki mahali ambapo hakuna amani.
Tusipandikize chuki ambazo zitabomoa umoja na mshikamano wa Taifa letu. Ifahamike kuwa Taifa letu limejengwa na watu wote wenye dini na hata wasiokuwa na dini. Nchi ikiharibika hakuna atakeye baki salama hivyo kila mmoja anao wajibu wa kukemea watu wanao leta chokochoko kama kina polepole na wenzake.
Mungu ibariki Tanzania.
Moja ya masomo ambayo nimepata bahati kuyasoma, na ambayo wengi wetu hatupati hiyo bahati, ni social & cultural anthropology. Moja ya maeneo ambayo nilikuwa nayo interest ni imani ya uchawi au simply uchawi. Na hii ni kwa sababu nimezaliwa katika jamii ambayo inaamini sana uchawi, na almost every tukio baya linahusishwa na uchawi, na matokeo yake tumechelewa sana kupata maendeleo ukilinganisha na jamii nyingine/sehemu zingine.Ni swali linalo ulizwa na watu wengi wengi, je polepole anatumiwa na nani kuichafua Serikali ya dkt Samia pamoja na viongozi wakuu wastaafu?
Je polepole anatumiwa na kanisa au ni yeye mwenyewe?
Sitaki kuamini kama kuna baadhi ya viongozi wa kanisa wanamtumia huyu polepole kuwachafua viongozibwetu.
Ushauri wangu, wale wote wanao shirikiana na polepole kuichafua Serikali hii ya awamu 6 chini ya dkt Samia waache mara moja kwani wanacho kifanya ni kitu kibaya sana, wanapanda chuki ambayo itadumu melele na itawaangamiza.
Tuombee nchi yetu amani katika uchaguzi mkuu na baada ya uchaguzi mkuu. Huwezi kuipata haki mahali ambapo hakuna amani.
Tusipandikize chuki ambazo zitabomoa umoja na mshikamano wa Taifa letu. Ifahamike kuwa Taifa letu limejengwa na watu wote wenye dini na hata wasiokuwa na dini. Nchi ikiharibika hakuna atakeye baki salama hivyo kila mmoja anao wajibu wa kukemea watu wanao leta chokochoko kama kina polepole na wenzake.
Mungu ibariki Tanzania.
Hapa natoa ushauri kwa viongozi wote wa dini bila kujali madhehebu.Makanisa yapo ya madhehebu mbali mbali Sasa unamaanisha yote au kuna moja unalilenga?
Tulimuona bi Kizimkazu majuzi kwa Mwamposya na pia huchangia kila harambee ya makanisa yote isipokuwa la Kakobe, Gwajima na Kiboko ya wachawi.
Na tulishawahi kumuona JPM akichangisha hela kanisani za kwenda kujenga msikiti..!!Makanisa yapo ya madhehebu mbali mbali Sasa unamaanisha yote au kuna moja unalilenga?