Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

Naunga mkono hoja, hii ndio Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na huu ndio Mhimili wa Mahakama za JMT ambao ndio uko responsible kutoa haki, na kilichofanyika jana, ndio utoaji haki wenyewe ndani ya JMT.

P
 
Naunga mkono hoja, hii ndio Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na huu ndio Mhimili wa Mahakama za JMT ambao ndio uko responsible kutoa haki, na kilichofanyika jana, ndio utoaji haki wenyewe ndani ya JMT.

P
Mahakama zetu zinapotoa haki mimi humuona jaji mkuu mstaafu akiwa ikulu na kusema hakuna wakati ngumu unaozipata mahakama kama kutoa hukumu kwa maelekezo toka nje! Alitoa maneno hayo baada ya kustaafu, aliyaficha moyoni akiwa kazini! Na yule jaji mkuu mstaafu wa kesi ya Mrema kuhusu mamilioni ya BM, naye alisema alipata wakati mgumu kutoa hukumu ambayo ilimnusuru BM kuondoka madarakani, hii ni kesi pekee ambayo mshitaki na mshitakiwa wote walishinda! Bunge wakati ule lililazimisha kumkuta Mrema na hatia ya kusema uongo na kuipeleka kesi mahakamani.
 
K
Kabisa
 
Watanzani tudai katiba mpya tuu ndio suluhisho la sarakasi zote hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naekekea jimbo la Kinondoni bundi mimi
Bundi wa karma ya Aquiline sasa limeibuka kutaka kudandia upepo wa Corona ulipaishe kuelekea kule mahali na saa hizi bundi hili linarandaranda kule juu ya ule mjengoni likisubiri giza liingie ndipo litue!.
Itabidi tuwahi kuwaona 'wazee' kumzuia huyo bundi asije kutua juu ya paa ya lile jengo letu pale...
Maana...
P
 
sichangii chochote
 
Bundi mimi huwa nafanya kazi yangu alfajiri. Mwili unakuwa ume relax basi hapo mimi najipitia tu kuchukua changu!
 
Hili la polisi kuua panya road, Maelezo ya Polisi kuhusu Panya Road hayaeleweki. Kwanini wanaua na siyo kukamata? Je, ni yale yale ya akina Zombe yanajirudia?
watu wanapiga kelele utadhani haya mauaji ya polisi with impunity hawa polisi ndio wameanza leo!, hawakuanza leo, huu sio mwanzo, na wala huu sio mwisho unless something is done kuzifuta amri batil al-halal kama hii ya kwenye bandiko hili Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje?
P.
 
Ni katika kukumbushana tuu, kuwa jeshi la polisi, likifanya madudu, linashitakika!, wasio shitakika ni wale jamaa zetu na JWTZ!.
P
 
Hili lilipita na wanafiki mkafurahi ila hili la sasa hapana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…