Je, pongezi zetu Watanzania kupitia kwa Mwakilishi Wetu Mmoja Kikatiba kwa Ushindi wa Kiongozi wa Upinzani nchini Malawi Chikwera utatoka Moyoni?

Mzukulu

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2020
Posts
1,401
Reaction score
2,641
Kuna Mtu Mmoja kama namuona vile na jinsi alivyo na tabia ya Hasira ( Jazba ) atakavyompongeza Mshindi wa Malawi huku akiwa amenuna balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…