Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Yeye mwenyewe anatuambia kuwa POSTA MASTA aliyekuwapo anafanya kazi nzuri sana. Macris Mbodo ameifanya Tanzania Posts Corporation kuwa mbele kuliko mashirika ya Posta yaliyo mengi katika bara la Afrika. Na kwa kutambua hilo yuko masomoni kujinoa ili afanye vizuri zaidi. Huku nyuma anatuletea Maharage Chande ambaye ameharibu TANESCO. Anamsafisha Maharage asionekane ni FAILURE kwa kusema mgawo wa umeme siyo kosa lake japo wananchi tumekataa kuamini kauli ya Rais.
Macris Mabodo akirudi na kisomo chake anakwenda kupangiwa kazi nyingine ili Maharage aiue na Posta tena
Macris Mabodo akirudi na kisomo chake anakwenda kupangiwa kazi nyingine ili Maharage aiue na Posta tena