Je, Poulsen kumng'oa Zahera Yanga ?

Je, Poulsen kumng'oa Zahera Yanga ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii kitu imekaaje wakuu ?

Tetesi za kutimuliwa Zahera zazidi kupamba moto. ( 640 X 640 ).jpg
 
wamuache zahera,,yanga wataaribu sasa
wachezaji wake alio wasajili bado hata hawajazoeana,
Zahera ni bonge la kocha wampe muda angalau miaka mitatu
 
wamuache zahera,,yanga wataaribu sasa
wachezaji wake alio wasajili bado hata hawajazoeana,
Zahera ni bonge la kocha wampe muda angalau miaka mitatu
Uzuri wa Zahera ni upi ?
 
Na iwe kweli mana tunaoumia ni sisi mashabiki! Yanga majanga, Man U haieleweki na timu ya kwetu Mtibwa sugar haisomeki! Daah napata tabu sana msimu huu!
Zahera ana mambo mengi yanayochangia kushindwa kwa Yanga kama vile kocha msaidizi DRC,Biashara ufaransa na muda mwingi anautumia huko sio kwa Yanga, so AONDOKE!!
 
Huyu kocha atatufaaa sn kwasababu ni muumini wa vijana hasa ukizingatia kwa sasa Yanga hatuna ubavu wa kugombea wachezaji wenye thamani kubwa.
 
Yanga wasije wakajichanganya tena kwa Pluijm kwa sababu sidhani kama ana jipya katika soka la bongo. Ila wakimpata Poulsen ni bonge la kocha. Falsafa yake ya kutumia vijana ni nzuri iwapo tu watampa muda wa miaka miwili/mitatu na mashabiki ni lazima wawe wavumilivu sana kuweza kuona matunda yake.
 
Huyu kocha hata Madrid anafundisha vzr tu..
apewe muda
kichekesho hichi...zahera hata kombe la kuku hajawah chukua...Yanga timu kubwa, point ya msingi wamshukuru kwa yote then watafute kocha mwenye uzoefu wa kuchukua vikombe....zahera yanga ni kubwa kuliko CV yake...
 
Zahera akiacha kuvaa ile MIKAPUTURA ni kocha mzuri tu kama UNAI EMERY.
 
kichekesho hichi...zahera hata kombe la kuku hajawah chukua...Yanga timu kubwa, point ya msingi wamshukuru kwa yote then watafute kocha mwenye uzoefu wa kuchukua vikombe....zahera yanga ni kubwa kuliko CV yake...
Ngoja akamilishe mipango ya molinga kwanza mkuu
 
Back
Top Bottom