Je, punyeto inaweza kuwa sababu ya kuchoka kwa mwili?

Mgalikoko

Senior Member
Joined
Mar 30, 2024
Posts
126
Reaction score
300
Wakuu samahani

Huwa nachoka sana mwili wangu kila siku zinavyokuja, nmepima kila aina ya gonjwa sugu mnalolifahamu ,sina

Niliachana na aliekuwa mke wangu miaka kadhaa iliyopita kutokana na usaliti alioufanya,

ikawa mchezo wangu ni ule wa kidronedake..je hili linaweza sababisha uchovu huu? Umri ni 40+
Siku zinavyozidi kwenda hadi kazini humo najikuta kusinzia ofsini .

Nifanyaje mkuu, kuoa sioi kwa sasa labda mwaka keshokutwa wengi matapeli wa mapenzi
 
Wakuu samahani

Huwa nachoka sana mwili wangu kila siku zinavyokuja ,, nmepima kila aina ya gonjwa sugu mnalolifahamu ,sina

ikawa mchezo wangu ni ule wa kidronedake..je hili linaweza sababisha uchovu huu? .umri ni 40+

Nifanyaje mkuu .kuoa sioi kwa sasa labda mwaka keshokutwa wengi matapeli wa mapenzi
dronedrake 👆👆
 
UZEE UNAGONGA HODI :CarltonPls::CarltonPls::CarltonPls:
 
Wakuu samahani

Huwa nachoka sana mwili wangu kila siku zinavyokuja, nmepima kila aina ya gonjwa sugu mnalolifahamu ,sina

Niliachana na aliekuwa mke wangu miaka kadhaa iliyopita kutokana na usaliti alioufanya,

ikawa mchezo wangu ni ule wa kidronedake..je hili linaweza sababisha uchovu huu? Umri ni 40+
Siku zinavyozidi kwenda hadi kazini humo najikuta kusinzia ofsini .

Nifanyaje mkuu, kuoa sioi kwa sasa labda mwaka keshokutwa wengi matapeli wa mapenzi

Sijui, ila punyeto ni jambo baya sana kwa 40 +

Ila maeneo haya ni muhimu, yaangalie:

1. Afya ya Mwili - Mazoezi.
2. Afya ya akili - Unasoma nini.
3. Afya ya roho - Kumbuka sala

Kagua haya maeneo wakati wote unapokutana na mambo usiyoelewa.
 
Back
Top Bottom