Je, punyeto inaweza kuwa sababu ya kuchoka kwa mwili?

Je, punyeto inaweza kuwa sababu ya kuchoka kwa mwili?

Wakuu samahani

Huwa nachoka sana mwili wangu kila siku zinavyokuja, nmepima kila aina ya gonjwa sugu mnalolifahamu ,sina

Niliachana na aliekuwa mke wangu miaka kadhaa iliyopita kutokana na usaliti alioufanya,

ikawa mchezo wangu ni ule wa kidronedake..je hili linaweza sababisha uchovu huu? Umri ni 40+
Siku zinavyozidi kwenda hadi kazini humo najikuta kusinzia ofsini .

Nifanyaje mkuu, kuoa sioi kwa sasa labda mwaka keshokutwa wengi matapeli wa mapen
Umri unavozidi kwenda ndio ndizi inazidi kusinyaa
 
Wakuu samahani

Huwa nachoka sana mwili wangu kila siku zinavyokuja, nmepima kila aina ya gonjwa sugu mnalolifahamu ,sina

Niliachana na aliekuwa mke wangu miaka kadhaa iliyopita kutokana na usaliti alioufanya,

ikawa mchezo wangu ni ule wa kidronedake..je hili linaweza sababisha uchovu huu? Umri ni 40+
Siku zinavyozidi kwenda hadi kazini humo najikuta kusinzia ofsini .

Nifanyaje mkuu, kuoa sioi kwa sasa labda mwaka keshokutwa wengi matapeli wa mapenzi
Mwenyekiti wa bodi na katibu
CHAPUTA
dronedrake
Mad Max
 
Sijui, ila punyeto ni jambo baya sana kwa 40 +

Ila maeneo haya ni muhimu, yaangalie:

1. Afya ya Mwili - Mazoezi.
2. Afya ya akili - Unasoma nini.
3. Afya ya roho - Kumbuka sala

Kagua haya maeneo wakati wote unapokutana na mambo usiyoelewa.
Comment Bora sana hii
 
Back
Top Bottom