Je, Putin anapigana unpopular?

Je, Putin anapigana unpopular?

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
20,189
Reaction score
29,663
Kwa Hali inavyoonekana hii Vita imeonekana kuwa un popular kwa Russia au Putin.

1. Kwanza, nchi nyingi zimeonesha huruma kwa Ukraine kuliko kuishangilia Urusi kuipiga Ukraine. Kwa mfano Poland amegoma kucheza na Urusi kwenye Qualifiers za world cup na Putin kunyanganywa mkanda mweusi kwenye Judo.

2. Pili, Wanachi wa Ukraine wameonesha kusimama na kupigania nchi yao kwa kushika silaha. Kuna wabunge na Kuna Rais mstaafu kaamua kuingia vitani kupigania nchi hii inaleta picha ngumu kwa Urusi kwamba hata tukiiteka Ukraine bado tutapingwa na wanchi wa hapa.

3. Tatu, Kitendo Cha Rais kuingia kwenye uwanja wa Vita kimechochea uzalendo kwenye nchi husika. Hivyo kwa njia Moja ana nyingine imeleta ugumu kwenye Vita.

4. Nne, Kitendo Cha Raia wa Urusi kuandamana kupinga nchi yao kuingia vitani Ni njia mojawapo ya kuonesha kwamba hiyo Vita haikuwa priority ya nchi.

Mwisho, Vita vikitulia na URUSI akashindwa kuidhibiti Ukraine, Kuna hatari akaletewa mashtaka ya uhalifu was kivita na vikwazo Mara mbili kumkomoa maana maadui zake walitaka kuona reaction itakuwaje kwenye Vita, Sasa wameona hata Raia wa Ukraine na Urusi hawaungi mkono hiyo Vita.
 
Tusiwe na double standards US
ndio anaongoza kwa kushambulia nchi nyingine kama Iraq walisingiziwa wana biological weapons
 
Upopular ipi man?Maana vyombo ya habari vya west ndo vinapika propaganda ili ionekane urusi anachukiwa
 
USA 🇺🇸 propaganda
 
Kinachonifurahisha kizazi hiki hakipendi mjadala wao NI mihemuko tu tunapaswa kuwa na mijadala ya hoja kwa hoja sio mtu anasema hivi mwingine badala ya kujibu kwa hoja anakuja juuna kutaka analoaamini yeye wote waamini hakika naona ombwe sehemu fulani
 
Tusiwe na double standards US
ndio anaongoza kwa kushambulia nchi nyingine kama Iraq walisingiziwa wana biological weapons
Kwa hiyo US kushambulia nchi zingine inakuwa inaleta uhalali wa urusi kushambulia ukraine ?
 
... nashangaa majinga fulani humu jf kushabikia umwagaji damu unaofanywa na fashisti Putin. Makaburu mamboleo wamo humu!
Am sure Puttin atakuwa amefura kama kifutu kwa sababu alikuwa amemu underestimate huyu Rais wa Ukraine ambaye awali alikuwa comedian na alidiriki kumuita muhuni na teja wa madawa ya kulevya. But in contrary jamaa amem prove very wrong [emoji23][emoji23][emoji12]
 
Upopular ipi man?Maana vyombo ya habari vya west ndo vinapika propaganda ili ionekane urusi anachukiwa
Urusi hawana media za propaganda??? Hivi unajua nchi nyingi za Africa mara baada ya uhuru ni wapi walienda kusomea propaganda? Unamjua vizuri Kingunge Ngombale Mwiru???
 
Back
Top Bottom