NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
MkuuHio nchi ni Egypt na rais Mohammed Morsi ndie alie ondolewa na mkuu wa jeshi. Yale yalitokea kwasababu Ulaya walitaka itokee vile. Kama Libya na Gaddafi ulaya wametaka aondoke kaondoshwa.
Nitakupa mfano wangu nilikuwa na mbwa kila usiku namtoa nje kwa ulinzi aliwapa tabu sana wapita njia wengi walilalamika juu ya mbwa wangu kuwang'ata.
Nawasikiliza wakiondoka nabaki kucheka walolalamika ni wengi sikujali kwasababu mbwa alikuwa akinilinda pamoja na mali na familia yangu.
Kuna siku sijui ilikuwaje yule mbwa aling'ata mwanangu. Huo ndio ulikuwa mwisho wa maisha yake huyu mbwa, kwasababu safari hii kaumiza familia yangu.
Huo ujumbe wa mbwa usome sana na uzingatie maana yake.
Kwa hiyo Mbwa kamuuma mkwe wake alipokuwa wizara ya utumishi Hadi akaamua kuuunda wizara mpya Ili kum accomodate mkwe wake!!?
TUIMBE HIVI;-
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!!