Je, Rais alishauriwa au kuuliza watangulizi wake nia yakuchunguza mienendo ya vyombo vya usalama?

Mkuu

Kwa hiyo Mbwa kamuuma mkwe wake alipokuwa wizara ya utumishi Hadi akaamua kuuunda wizara mpya Ili kum accomodate mkwe wake!!?


TUIMBE HIVI;-

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!!
 
Umejbu vzr san mkuu kongole
 
Tafakari mfano wa mbwa
Just continue giving absurd dog example while dodging to fulfill your promise of killing me for stealing your family vintage TV in 1988.

Am closely watching, trailing and following every movement you make.

It's my right to die by being killed by you. You made this promise here and you must fulfill it NOW and right away.
 
Sikutaja taifa so baki na unacho amini.
 
Ktk Taifa lolote linapondokewa na Mkuu wa Nchi ghafula, mtikisiko Huwa mkubwa sana.

Tushukuru Mungu mtikisiko huu utamalizwa na KATIBA mpya iliyoasisiwa na judge Warioba.

KATIBA mpya haikwepeki, GIZA na ukungu ni mzito sana Kwa raia kuona MBELE.

Asante Uncle Magu Kwa SACRIFICE. Ameeeeen
 
Come to my inbox for arrangements
 
Mzee wa kupinga na mikwara mbuzi!

we tangu lini umemtambua Samia kama Ni Rais?
 

Kutawala ni art ya kucheza na akili za watawaliwa. Kwasababu hii, watawala wanaweza kufanya mabadiliko ambayo in reality yana zero impact, lakini psychologically yanapunguza tension kati ya watawala na watawaliwa. Wanafanya hivyo kwa kuwatoa kafara baadhi ya wateule wao. Yapo mambo mengi ya ovyo ambayo hufanywa na Serikali kwa baraka zote za mkuu wa nchi na cabinet yake nzima, lakini ili yeye aendelee na term yake smoothly analazimika kumtoa kafara mtu/watu fulani ambaye/ambao watawaliwa, kwa ujinga wao, watakuwa wanadhani ndiye/ndio chimbuko la hayo mambo ya ovyo.

Mtawala usipokuwa mnafiki sijui kama utaimaliza term ya miaka mitano salama. Lazima ujue kucheza na akili ya watawaliwa!
 
Huyu Mama kachoka kutawala nchi, anawachunguza wazee wa Deep state!

Jiwe mwenyewe kwenye kampeni ya vyeti fake huko hakugusa. Asubiri aone, atajua hajui!!
Jiwe hata police hakugusa kwenye vyeti feki
 
Binafsi nina hofu samia ni pandikizi la nchi za magharibi ili kufuta mlengo wa kijamaa wa sera za tanzania. Asili ya vyombo vya ulinzi vya tanzania ni vya kimapinduzi kulinda dola yenye kutetea maslahi ya umma. Hilo linawakera mabeberu na vibaraka wao ndani ya nchi. Vibaraka walio kwenye vyama vya upinzani wanaagizwa kuvunja mzizi wa chama cha mapinduzi kwenye vyombo vya ulinzi.
 
Kuna vyombo havilali wakati Jamhuri imelala.

Mungu wabariki Wana USALAMA wetu.

Tanzania ni backbone ya Africa.

Ameeeen
 
Najua alipolenga ila anaona waarabu wote ni Middle East [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…