jitwangabalogi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2018
- 476
- 636
'Ni kweli mkuu...hata Mwalimu alikula Sana fegi Kwa Hela za serikali" :Mwisho Wa kunukuu:Kunavitu ambavyo rais wa Jamhuri ya Muungano wa tanzania akishaapishwa hatakiwi kuwa navyo. Moja wapo ni madeni. Ikitokea amechaguliwa akiwa na madeni, serikali itamlipia madeni yote. Na hivyo haruhusiwi kukopa. Hata hivyo hana sababu ya kukopa kwa maanda anahudumiwa na serikali kila kitu. Hata kama akihitaji kondom, atanunua kwa pesa ya serikali.