jitwangabalogi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2018
- 476
- 636
'Ni kweli mkuu...hata Mwalimu alikula Sana fegi Kwa Hela za serikali" :Mwisho Wa kunukuu:Kunavitu ambavyo rais wa Jamhuri ya Muungano wa tanzania akishaapishwa hatakiwi kuwa navyo. Moja wapo ni madeni. Ikitokea amechaguliwa akiwa na madeni, serikali itamlipia madeni yote. Na hivyo haruhusiwi kukopa. Hata hivyo hana sababu ya kukopa kwa maanda anahudumiwa na serikali kila kitu. Hata kama akihitaji kondom, atanunua kwa pesa ya serikali.
[emoji23][emoji23]Hahahaha
Sicheku kwa kubeza. Bali nawaza rais anakopaje wakati hela zote ni zake?
Si unasikia hata madelu anavyopiga chorus kuwa mama katoa hela ziende huku na kule?
Akope dola million moja kununua nyumba Marekani!Mfano akope kiasi gani?
Kwenye nchi za ulimwengu wa tatuYeye anachukua, akitaka hata pesa zako anaweza kuzichukua, na humfanyi chochote
Hizo anazipata kwa kuuza eneo moja tu la mgodi anatoa oda mgodi huu ipewe kampuni Fulani bila ushindaniAkope dola million moja kununua nyumba Marekani!
Unakumbuka bilioni 306 za Tegeta Escrow. Mgao ulienda kwa Singasinga, Rugemalira na watatu ni Simba Trust. Mbona Simba Trust hajaguswa tens yeye muamala wake haukupitia benki magunia ya noti yalitoka moja kwa moja BOTAkope dola million moja kununua nyumba Marekani!
Hahaaa dahAnaweza na amekopea sana tuu
Ndivo unaaminiSio zake na hawezi kuagiza matumizi ya kienyeji.
Itakusaidia nini!?Nilikuwa naomba kujuzwa hili?, na je kwa mshahara wake kiwango chake cha mkopo kinaweza kufikia kiasi gani kwa kuwa rais huwa na mshahara mnono sana.
Kuna wakati nyerere aliwahi kusema hata sigara anayovuta halipii hatoi hela yeye..Hahahaha
Sicheku kwa kubeza. Bali nawaza rais anakopaje wakati hela zote ni zake?
Si unasikia hata madelu anavyopiga chorus kuwa mama katoa hela ziende huku na kule?
Sio swala la Imani ni swala la kisheriaNdivo unaamini
Aliyeuliza inawezekana ni mtu wake ama mkaribu yake....Kuna wakati nyerere aliwahi kusema hata sigara anayovuta halipii hatoi hela yeye..
Hakuna kitu Rais atataka asipate, Pesa yoyote ile sasa Mkopo wa nini kwake?π π π π€£π€£
Unakumbuka bilioni 306 za Tegeta Escrow. Mgao ulienda kwa Singasinga, Rugemalira na watatu ni Simba Trust. Mbona Simba Trust hajaguswa tena yeye muamala wake haukupitia benki magunia ya noti yalitoka moja kwa moja BOT. Hata Mimi Simba Trust simjui hadi Leo. HahaaAkope dola million moja kununua nyumba Marekani!