Je, Rais kavunja Sheria ya Usalama wa Taifa ya mwaka 2023 kwa kumteua aliyekuwa Mkurugenzi wa Usalama kuwa Balozi?

Si amemtengua kama DG ndio akamteua kuwa balozi, labda kama Sheria hiyo inasema hata kama akitenguliwa wadhifa huo.
Once ukishakuwa spy master you will alwayz be spy master ni kama CDF tu huwez kuniambia eti kwakuwa CDF ametenguliwa bhasi hana nguvu kijeshi hiyo sahau....
 
Once ukishakuwa spy master you will alwayz be spy master ni kama CDF tu huwez kuniambia eti kwakuwa CDF ametenguliwa bhasi hana nguvu kijeshi hiyo sahau....
Yeye sio mkurugenzi Tena,
Sheria mbna ipo kaichukue kaipitie

Si amemtengua kama DG ndio akamteua kuwa balozi, labda kama Sheria hiyo inasema hata kama akitenguliwa wadhifa huo.
Mimi naona kaka chili Yako itakufanya uwe kipofu wa kila jambo lonalofanywa na upande usio utaka.
 
Once ukishakuwa spy master you will alwayz be spy master ni kama CDF tu huwez kuniambia eti kwakuwa CDF ametenguliwa bhasi hana nguvu kijeshi hiyo sahau....
Kila kitu ni 'power' ukiondolewa ile 'power' huwezi kufanya chochote; ndio maana hapo jirani kulikuwa na joto, aliyepita vs aliyepo; aliyepo ndio mwenye nguvu.
 
Yeye sio mkurugenzi Tena,

Mimi naona kaka chili Yako itakufanya uwe kipofu wa kila jambo lonalofanywa na upande usio utaka.
Nimejibu hilo swala na hakuna barua ya utenguzi(Kama unayo nionyeshe) ila kuna barua ya uteuzi so Nafikiri tusifungwe Sana na utetezi tukashindwa kujibu hoja....Unafikiri Jibu simple kama lako Nape alipoulizwa jana twitter hakuwa nalo si angejibu tu simple kwamba alitenguliwa akawa sio tena DG ila alijibu kuwa sheria ilirekebishwa...
 
Kila kitu ni 'power' ukiondolewa ile 'power' huwezi kufanya chochote; ndio maana hapo jirani kulikuwa na joto, aliyepita vs aliyepo; aliyepo ndio mwenye nguvu.
Who Toldyu That The military General can loose power Dah Nafikir watu tuna haja ya kujua Kuhusu Majeshi aisee Naona wengi bado sana unafikir kama hana power why huwa bado wana remain kwenye system mpk Watakapokufa Try kujua unachotetea kwanza kajitafutie kujua ndo urudie kusema hivyo tena
 
Yeye sio mkurugenzi Tena,

Mimi naona kaka chili Yako itakufanya uwe kipofu wa kila jambo lonalofanywa na upande usio utak

Hili ni jibu la Yericko Nyerere Mara baada ya kuomba ufafanuzi kutoka kwa Nape....
View attachment 2732407
Kwa uelewa wangu hata kama Sheria haikubadilishwa raisi bado yupo sahihi, maana kamtengua alafu akamteua, angekuwa bado ni mkurugenzi sawa. Ila Mimi ninachokiona kibaya ni kuumpa raisi majukumu makubwa kama haya ya kutengua na kuteua Karibu nafasi zote nyeti, itakuwa ngumu kwa nchi yetu kupata maendeleo maana huwa wanateua watu wa kuwatekelezea agenda zao. Mimi siamini kwamba kunabidamu asiye na agenda binafsi.
 
Case study; Afrika magharibi (Mali, Burkina Faso, Guinea Conakry, Niger), waliofanya mapinduzi ni watu gani?
 
Tena aliyeingia kwenye 'power' wakati mwingine hataki mazoea na aliyepita
 
Mkuu Nimeomba unipe barua aliyotengua uteuzi me naona barua ya kuteuliwa DG mpya na Balozi mpya
 
Hamna Jambo hunikera kama kumwita raisi mama,mama ni nyumbani kwake,acheni uchawa ulopitiliza
Au we ngumbaru,ukiingia kwenye ofisi za watu badala ya kuadress watu kwa vyeo vyao unakela kujikombakomba,na shemeji,shangazi,mjomba🤣🤣
Mkuu
Kuwa mpole. Rais wetu wa sasa ni mama. Mbona haukereki Nyerere kuitwa baba?
Punguza gubu
 
Mimi siamini kama ikulu hakuna wanasheria wazuri wenye kupima jambo Hilo katika macho ya kisheria kwenye suala nyeti kama hilo.
Kaka kujiona msomi na mjuaji kuliko wengine naona inakuwa bado hujawa msomi, ila msomi mzuri siku zote hujiona mwanafunzi. Na hujifunza kwanza kabla ya kutoa comment ya kila jambo.
 
Trust me wapendwa.

Rais amewekewa mitego mingi sana na watu anaowapenda mno.

Maadam sisi wapiga mayowe tunasemwa kuwa si wazalendo. Basi tumuache tuone namna anavyoshuka chini kwa kishindo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…