Je, Rais Magufuli amevunja Katiba kwa kumteua Jaji Zepherine Nyalugenda Galeba kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa?

Kwani mteule ana uzoefu wa miaka mingapi kwa muktadha wa siafa zinazotakiwa?
Mkuu kwakuwa alikuwa Jaji wa Mahakama kuu ni wazi kwa hali ya kawaida alikuwa na uzoefu usiopungua miaka 10 ndiyo maana aliteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama kuu. Na sifa ya kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa lazima uwe na sifa za kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama kuu na kwa mda usiopungua miaka 15. Ukitaka kuelewa vizuri isome Ibara ya 109 yote pamoja na 118 yote. Umipewa vinusu nusu Kama alivyofanya Mwamba unachemka. Katiba haisomwi hivyo.
 
Kama wana clear issue ya uzoefu, hakuna issue hapo.

Kwa sababu, issue ya ku consult CJ, hata kama Rais haja m consult CJ, sifikiri kwamba CJ anaweza kum contradict rais kwa issue kama hii.

Huyu Magufuli alishawahi kuwaapisha watu u Waziri, kabla hawajaapishwa Ubunge, kundi lililoapishwa uwaziri na marehemu Dr. Mahiga.

Kitu ambacho ni violation, kwa sababu Waziri anatakiwa awe mbunge. Na mtu hapati kuwa mbunge mpaka aapishwe ubunge.

Halafu, if I am not mistaken, alianza kuteua mawaziri kabla ya kuteua PM, watu wakahoji, ame consult na PM gani wakati PM hajateuliwa?

Magufuli hajali haya mambo ya legal detail.

Na hakuna yeyote aliyefanya lolote kumdhibiti.
 

Good point.
 
Consultation inatakiwa ifanyike baada au kabla ya uteuzi?
 
Ile kutamka tu, watatekeleza na amesema kuanzia sasa
Rais J P Magufuli hii kitu ameshajadiliana kitambo na Jaji Mkuu kuhusu huyu Jaji
Tangu lini Raisi akafuatilia Hukumu za Majaji wote?
Hii kitu ameikuta mezani, kuwa kuna Jaji kafanya uzalendo kutumia Hukumu kwa Kiswahili
Haya yule Silayo Askari Magereza mtaalam wa Misitu aliyetunukiwa Msitu utumie jina lake napo utasemaje?
 
Mxieeew, Ona akili yako ilivyo mbovu
 
Mkuu kigezo cha miaka 15 kinaangaliwa Tangu aanze kufanya kazi ya Uhakimu, hivyo kwa kuwa alikuwa Jaji wa Mahakama kuu anakuwa anayo sifa ya moja kwa moja ya kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaani na kiapo chake sio bati.

Kasome vizuri katiba na uieleww
 
Tanzania imepata mkosi mkubwa sana !
 
Miaka 15 ni kwa wote, si Zanzibar tu.

It will be absurd na discrimination kutaka uzoefu wa miaka 15 kutoka Zanzibar halafu kutotaka hilo kutoka bara.

Strength ya hii hoja kuhusu kigezo cha miaka 15 iko wapi, mkuu?

Kuna watu walipata sifa za kuteuliwa kuwa judge wa High Court of Tanzania zaidi ya 15 years ago, lakini mpaka leo pengine ni mahakimu wakazi wafawidhi wa mahakama za hakimu mkazi au mawakili waandamizi wa kujitegemea. Mtu wa aina hiyo leo akiteuliwa kuwa judge wa Court of Appeal of Tanzania tutasema hana sifa zinazotakiwa na Katiba?
 
Please look at my post number 66.

Nilishapitia hiyo point katika mjadala na kajekudya.
 
Never, tusibishane, tafuta Prof Abdllah Safari akupe sheria inasemaje
 
Ignore
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…