kajekudya
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 2,466
- 4,916
Mkuu kwakuwa alikuwa Jaji wa Mahakama kuu ni wazi kwa hali ya kawaida alikuwa na uzoefu usiopungua miaka 10 ndiyo maana aliteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama kuu. Na sifa ya kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa lazima uwe na sifa za kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama kuu na kwa mda usiopungua miaka 15. Ukitaka kuelewa vizuri isome Ibara ya 109 yote pamoja na 118 yote. Umipewa vinusu nusu Kama alivyofanya Mwamba unachemka. Katiba haisomwi hivyo.Kwani mteule ana uzoefu wa miaka mingapi kwa muktadha wa siafa zinazotakiwa?