Je, Rais Magufuli amevunja Katiba kwa kumteua Jaji Zepherine Nyalugenda Galeba kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa?

Je, Rais Magufuli amevunja Katiba kwa kumteua Jaji Zepherine Nyalugenda Galeba kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa?

It’s true some languages have more utility than others depending on context and purpose, but that’s not a function of hierarchy.
This judgement will not be quoted/referred by any court outside Tanzania.....
 
Nchi ya chama kimoja, inaongozwa na Mfalme JUHA.

Mitano tena tafaadhali.
Huyo alitunga sheria ya jaji kukaa miaka 15 mahakama kuu ndo awe na sifa ya kuwa jaji wa mahakam ya rufaa ndo JUHA. huo ndo uhuja wenyewe. maana yake hata kukiwa na jaji mzuri basi kwa vile hana miaka 15 katika mahakama kuu basi asiwe jaji wa mahakama ya rufani. huo ndo ujuha
 
Hata kama katiba na sheria zetu zina kasoro kiasi gani, isiwe sababu ya kuvuruga vuruga.
Tatizo ni Kichaa kupewa RUNGU.
 
Hata kama katiba na sheria zetu zina kasoro kiasi gani, isiwe sababu ya kuvuruga vuruga.
Tatizo ni Kichaa kupewa RUNGU.
mimi nadhani vichaa ni hao walioweka mambo ya ajabu ajabu katika katiba na sheria zetu. Eti ili jaji awe wa mahakama ya rufani hadi awe amekaa mahakama kuu miaka 15. unajua sifa za kufikia kuwa jaji wa mahakam kuu? ni miaka mingapi ametumia hadi anakuwa jaji wa mahakama kuu? halafu afanye kazi mahakama kuu kwa miaka 15 tena. huo ndo ukichaa wenyewe.
 
Huyu mtu ni wa hovyo sana na miaka 10 au zaidi atayokuwa madarakani ataivuruga sana na kuiacha katika hali mbaya sana na taasisi zote muhimu za Kiserikali zitakuwa ni UOZO MTUPU!
Kuna siku atamteua aliyemfurahisha kuwa Jaji Mkuu! Time will tell! BAK
 
Huyo alitunga sheria ya jaji kukaa miaka 15 mahakama kuu ndo awe na sifa ya kuwa jaji wa mahakam ya rufaa ndo JUHA. huo ndo uhuja wenyewe. maana yake hata kukiwa na jaji mzuri basi kwa vile hana miaka 15 katika mahakama kuu basi asiwe jaji wa mahakama ya rufani. huo ndo ujuha
Not t all. This is the highest court of the Land, zinatoa maamuzi magumu, therefore lazima waende watu walioiva vema kwenye sheria. 15 yrs ni good experience Nchi nyingi zinatumia 15 yrs

hapa ni Kenya
Constitutional and Statutory Requirements for Appointment:
For appointment to the position of Judge of the Supreme Court, an applicant must possess the following minimum qualifications: 1. Hold a law degree from a recognized university or be an advocate of the High Court of Kenya or possess an equivalent qualification in a common-law jurisdiction;

2. Possess at least fifteen (15) years’ experience as a superior court judge or a distinguished academic, judicial officer, legal practitioner or such experience in other relevant legal field or

3. Hold the qualifications mentioned in paragraph (1) and (2) above for a period amounting, in the aggregate to fifteen (15) years. (Note: Experience gained in Kenya or in another Commonwealth Country with a common-law jurisdiction will be considered)
4. Be of high moral character, integrity and impartiality.

5. Meet the requirements of Chapter Six of the Constitution.

6. In addition, the applicants must demonstrate a high degree of professional competence, communication skills, fairness, good temperament, making of good judgments in both legal and life experiences and commitment to public and community service. The appointment shall be made in accordance with Article 166 (2) (3) (a) (b) and (c) of the Constitution of Kenya as read with the First Schedule of the Judicial Service Act, 2011.
 
Sio tatizo lake ni letu Watanzania. Katiba yetu inampa Rais wa JYMTZ maamlaka makubwa kiasi kwamba anaweza kuwa mungu mtu. Kwa pamoja tumuombee amuue kwa hiari yake kuruhusu mchakato katiba ya wananchi.
Haki haiombwi bali hudaiwa. Ni wajibu wetu kuidai. Vinginevyo tuwe wapole tusubiri malaika wa Chato amshukie mfalme.
 
The other Justices of Appeal shall be appointed by the President after consultation with the Chief Justice, from amongst persons who qualify to be appointed Judges of the High Court of the United Republic as provided for in Article 109 of this Constitution, or from amongst persons who qualify to be appointed Judges of the High Court of Zanzibar in accordance with the laws applicable in Zanzibar and have possessed such qualifications for a period of not less than fifteen years....
Consultation kufanyika ku verify inaweza kuwa ngumu.

Kwangu mimi naona kwenye 15 years hapo ndipo penye clear case.
 
Mbona umequote sheria ya mahakama kwa Zanzibar wakati jaji ametokea Tanzania bara?
Miaka 15 ni kwa wote, si Zanzibar tu.

It will be absurd na discrimination kutaka uzoefu wa miaka 15 kutoka Zanzibar halafu kutotaka hilo kutoka bara.
 
Avunje asivunje sisi wenyewe tulisha ivunja toka 2015, mitano tena
 
Mkuu, kiutaratibu appointment inakamilika pale mhusika anakapokabidhiwa barua ya uteuzi na kusaini kukubali uteuzi huo. So, kwa kuwa process hiyo haijakamilika maana yake hakuna uteuzi uliofanyika na, kwa maana hiyo, Rais hajavunja Katiba.

Atashauriana na wahusika hapo baadaye kama Katiba inavyotaka na mhusika kuteuliwa rasmi kwa barua kukamilisha process. Ni mtazamo wangu tu lakini.
Mbona Ikulu imeshatoa taarifa rasmi?

Acha ateue shemeji wakwe na watoto wa Dada .....muda mwalimu mzuri
 
Katangaza ghafla, alijiwa na muhemko fulani...si ajabu na CJ ameskia kama wewe ulivyosikia!!!!!
Hata kama katangaza ghafla, CJ anaweza kumsitiri, hilo ku prove kwamba hawakuwasiliana ni vigumu, mpaka CJ mwenyewe aseme hivyo, kitu ambacho kisiasa ni vigumu yeye kumuadhiri rais.

Kwenye uzoefu wa miaka 15 ndiyo kuna strong na clear case.Kwa sababu uzoefu wa mtu kazini ni kitu kilicho well documented hatutegemei maneno ya mtu mmoja.
 
Huyo alitunga sheria ya jaji kukaa miaka 15 mahakama kuu ndo awe na sifa ya kuwa jaji wa mahakam ya rufaa ndo JUHA. huo ndo uhuja wenyewe. maana yake hata kukiwa na jaji mzuri basi kwa vile hana miaka 15 katika mahakama kuu basi asiwe jaji wa mahakama ya rufani. huo ndo ujuha
Haiko hivo mkuu, huyu mwamba amepotosha. Soma hiyo ibara iko very plain. Siyo lazima kuwa Jaji wa Mahakama kuu ndio uwe jaji wa Mahakama ya Rufaa. Bali unapaswa kuwa na sifa za kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama kuu na uwe nazo kwa kipindi kisichopungua miaka 15 ili uweze kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani. So you don't need to be High Court Judge to be appointed a Justice of Court of Appeal.
 
Hata kama katangaza ghafla, CJ anaweza kumsitiri, hilo ku prove kwamba hawakuwasiliana ni vigumu, mpaka CJ mwenyewe aseme hivyo, kitu ambacho kisiasa ni vigumu yeye kumuadhiri rais.

Kwenye uzoefu wa miaka 15 ndiyo kuna strong na clear case.Kwa sababu uzoefu wa mtu kazini ni kitu kilicho well documented hatutegemei maneno ya mtu mmoja.
Uzoefu wa miaka 15 na akiwa na sifa zinazoanishwa katika Ibara ya 109. Siyo uzoefu wa miaka 15 akiwa Judge wa Mahakama Kuu. Eleweni Hilo. Na hapa ndipo huyu mwamba mleta uzi anapotosha. Alipaswa alete Ibara zote zinazoanishwa sifa za kuteuliwa Jaji wa Mahakama Kuu na wa Mahakama ya Rufaa ili zisomwe pamoja, Ila yeye kanyofoa kakipande kitu ambacho si sahihi linapokuja swala la kutafsiri Katiba
 
Kwani mteule ana uzoefu wa miaka mingapi kwa muktadha wa sifa zinazotakiwa?

Mimi sijui, nahakiki tu.

Nilichosema kwa uhakika ni kwamba, suala la ku verify kama alifanya consultation na Chief Justice ni gumu.Kwa sababu hata kama hajafanya, mtu wa ku verify ni mmoja tu, Chief Justice. Ambaye, kwa sababu za kisiasa, kumuadhiri rais inaweza kuwa jambo gumu.

Kwa hivyo, suala lenye kuweza kujenga a strong case ni hilo la uzeoefu wa miaka 15, kwa sababu vigezo vitaangaliwa, na rekodi ya utumishi wa jaji itaangaliwa, hili si suala la kuwa verified na mtu mmoja tu.
 
Back
Top Bottom