- Thread starter
- #41
This judgement will not be quoted/referred by any court outside Tanzania.....It’s true some languages have more utility than others depending on context and purpose, but that’s not a function of hierarchy.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This judgement will not be quoted/referred by any court outside Tanzania.....It’s true some languages have more utility than others depending on context and purpose, but that’s not a function of hierarchy.
Huyo alitunga sheria ya jaji kukaa miaka 15 mahakama kuu ndo awe na sifa ya kuwa jaji wa mahakam ya rufaa ndo JUHA. huo ndo uhuja wenyewe. maana yake hata kukiwa na jaji mzuri basi kwa vile hana miaka 15 katika mahakama kuu basi asiwe jaji wa mahakama ya rufani. huo ndo ujuhaNchi ya chama kimoja, inaongozwa na Mfalme JUHA.
Mitano tena tafaadhali.
Hata kama katiba na sheria zetu zina kasoro kiasi gani, isiwe sababu ya kuvuruga vuruga.Huyo alitunga sheria ya jaji kukaa miaka 15 mahakama kuu ndo awe na sifa ya kuwa jaji wa mahakam ya rufaa ndo JUHA. huo ndo uhuja wenyewe. maana yake hata kukiwa na jaji mzuri basi kwa vile hana miaka 15 katika mahakama kuu basi asiwe jaji wa mahakama ya rufani. huo ndo ujuha
mimi nadhani vichaa ni hao walioweka mambo ya ajabu ajabu katika katiba na sheria zetu. Eti ili jaji awe wa mahakama ya rufani hadi awe amekaa mahakama kuu miaka 15. unajua sifa za kufikia kuwa jaji wa mahakam kuu? ni miaka mingapi ametumia hadi anakuwa jaji wa mahakama kuu? halafu afanye kazi mahakama kuu kwa miaka 15 tena. huo ndo ukichaa wenyewe.Hata kama katiba na sheria zetu zina kasoro kiasi gani, isiwe sababu ya kuvuruga vuruga.
Tatizo ni Kichaa kupewa RUNGU.
Not t all. This is the highest court of the Land, zinatoa maamuzi magumu, therefore lazima waende watu walioiva vema kwenye sheria. 15 yrs ni good experience Nchi nyingi zinatumia 15 yrsHuyo alitunga sheria ya jaji kukaa miaka 15 mahakama kuu ndo awe na sifa ya kuwa jaji wa mahakam ya rufaa ndo JUHA. huo ndo uhuja wenyewe. maana yake hata kukiwa na jaji mzuri basi kwa vile hana miaka 15 katika mahakama kuu basi asiwe jaji wa mahakama ya rufani. huo ndo ujuha
Mbona mods wamefuta coment ya huyo jamaa uliye m quote?Umechanganua vizuri sana.
Rais ni Taasisi na kwa maana hiyo yote yalizingatiwa!
Haki haiombwi bali hudaiwa. Ni wajibu wetu kuidai. Vinginevyo tuwe wapole tusubiri malaika wa Chato amshukie mfalme.Sio tatizo lake ni letu Watanzania. Katiba yetu inampa Rais wa JYMTZ maamlaka makubwa kiasi kwamba anaweza kuwa mungu mtu. Kwa pamoja tumuombee amuue kwa hiari yake kuruhusu mchakato katiba ya wananchi.
Consultation kufanyika ku verify inaweza kuwa ngumu.The other Justices of Appeal shall be appointed by the President after consultation with the Chief Justice, from amongst persons who qualify to be appointed Judges of the High Court of the United Republic as provided for in Article 109 of this Constitution, or from amongst persons who qualify to be appointed Judges of the High Court of Zanzibar in accordance with the laws applicable in Zanzibar and have possessed such qualifications for a period of not less than fifteen years....
Miaka 15 ni kwa wote, si Zanzibar tu.Mbona umequote sheria ya mahakama kwa Zanzibar wakati jaji ametokea Tanzania bara?
Mbona Ikulu imeshatoa taarifa rasmi?Mkuu, kiutaratibu appointment inakamilika pale mhusika anakapokabidhiwa barua ya uteuzi na kusaini kukubali uteuzi huo. So, kwa kuwa process hiyo haijakamilika maana yake hakuna uteuzi uliofanyika na, kwa maana hiyo, Rais hajavunja Katiba.
Atashauriana na wahusika hapo baadaye kama Katiba inavyotaka na mhusika kuteuliwa rasmi kwa barua kukamilisha process. Ni mtazamo wangu tu lakini.
Katangaza ghafla, alijiwa na muhemko fulani...si ajabu na CJ ameskia kama wewe ulivyosikia!!!!!Consultation kufanyika ku verify inaweza kuwa ngumu.
15yrs imetimia?Kwani alitakiwa afanye consultation na wewe? au CJ?
Hata kama katangaza ghafla, CJ anaweza kumsitiri, hilo ku prove kwamba hawakuwasiliana ni vigumu, mpaka CJ mwenyewe aseme hivyo, kitu ambacho kisiasa ni vigumu yeye kumuadhiri rais.Katangaza ghafla, alijiwa na muhemko fulani...si ajabu na CJ ameskia kama wewe ulivyosikia!!!!!
Haiko hivo mkuu, huyu mwamba amepotosha. Soma hiyo ibara iko very plain. Siyo lazima kuwa Jaji wa Mahakama kuu ndio uwe jaji wa Mahakama ya Rufaa. Bali unapaswa kuwa na sifa za kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama kuu na uwe nazo kwa kipindi kisichopungua miaka 15 ili uweze kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani. So you don't need to be High Court Judge to be appointed a Justice of Court of Appeal.Huyo alitunga sheria ya jaji kukaa miaka 15 mahakama kuu ndo awe na sifa ya kuwa jaji wa mahakam ya rufaa ndo JUHA. huo ndo uhuja wenyewe. maana yake hata kukiwa na jaji mzuri basi kwa vile hana miaka 15 katika mahakama kuu basi asiwe jaji wa mahakama ya rufani. huo ndo ujuha
Uzoefu wa miaka 15 na akiwa na sifa zinazoanishwa katika Ibara ya 109. Siyo uzoefu wa miaka 15 akiwa Judge wa Mahakama Kuu. Eleweni Hilo. Na hapa ndipo huyu mwamba mleta uzi anapotosha. Alipaswa alete Ibara zote zinazoanishwa sifa za kuteuliwa Jaji wa Mahakama Kuu na wa Mahakama ya Rufaa ili zisomwe pamoja, Ila yeye kanyofoa kakipande kitu ambacho si sahihi linapokuja swala la kutafsiri KatibaHata kama katangaza ghafla, CJ anaweza kumsitiri, hilo ku prove kwamba hawakuwasiliana ni vigumu, mpaka CJ mwenyewe aseme hivyo, kitu ambacho kisiasa ni vigumu yeye kumuadhiri rais.
Kwenye uzoefu wa miaka 15 ndiyo kuna strong na clear case.Kwa sababu uzoefu wa mtu kazini ni kitu kilicho well documented hatutegemei maneno ya mtu mmoja.
Kwani mteule ana uzoefu wa miaka mingapi kwa muktadha wa sifa zinazotakiwa?Uzoefu wa miaka 15 na akiwa na sifa zinazoanishwa katika Ibara ya 109. Siyo uzoefu wa miaka 15 akiwa Judge wa Mahakama Kuu. Eleweni Hilo. Na hapa ndipo huyu mwamba mleta uzi anapotosha. Alipaswa alete Ibara zote zinazoanishwa sifa za kuteuliwa Jaji wa Mahakama Kuu na wa Mahakama ya Rufaa ili zisomwe pamoja, Ila yeye kanyofoa kakipande kitu ambacho si sahihi linapokuja swala la kutafsiri Katiba