Hakainde
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 2,401
- 2,872
Tunashukuru sana kama kaivunja maana ilikuwa mbovu sana.
Naomba kujua katiba mpya tutaanza kuandika lini?
Punguza ubwege Mkuu 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunashukuru sana kama kaivunja maana ilikuwa mbovu sana.
Naomba kujua katiba mpya tutaanza kuandika lini?
Mbona umequote sheria ya mahakama kwa Zanzibar wakati jaji ametokea Tanzania bara?
Let the judge say this, not any other person.
Huyu Jaji hana sifa za kuwa Justice of appeal (JA). Alipandishwa na Jiwe kwa kuandika hukumu ya Kiswahili ambayo siyo mojawapo ya sifa za kupanda kuwa JA! Leo anaandika hukumu ya Mahakama ya Rufaa ambayo hana sifa za kuwa hapo maana kuandika Kiswahili siyo sifa mojawapo. Ukweli utasemwa hata kama hawautaki kuusikia. Ni ukweli ingawa unaweza usiwe mzuri kwa baadhi ya wahafidhina
Mods najua mtafuta uzi huu and you might be justified maana ni msumari kwa uhai wa JF yetu!
ndio ukomo wa akili yko, ishu ni sifa za kuwa pale!Na yeye ni LY? lia sana mpaka debu lijae machozi, ndo kashakuwa.
You must be crazy, ishu ni sifa za kuwa apel. Daktari hawi dakitari bingwa kwa vile kaandika patients history kwa kiswahili, no huyo ataua watu! hana expertise ya kuwa daktari bingwa.... kwaheri....Shida yako nini maana sijakuelewa, yeye kupanda cheo, au kuandika hukumu kwa kiswahili.
Tz asilimia 98% tunajuwa kiswahl sasa hizo hukumu za kingereza mnamuandikia mtu asiyejuwa lugha hiyo ili iweje.
Au una chuki binafsi na jaji huyo.
Wivu,husuda,ubinafsi haviwezi kukusaidia keshakuwa na hutafanya kitu, pambana tu na wivu wako full stop, viongozi wangapa wameteuliwa hawana sifa huyo tu ndiyo umeona.You must be crazy, ishu ni sifa za kuwa apel. Daktari hawi dakitari bingwa kwa vile kaandika patients history kwa kiswahili, no huyo ataua watu! hana expertise ya kuwa daktari bingwa.... kwaheri....
Wivu,husuda,ubinafsi haviwezi kukusaidia keshakuwa na hutafanya kitu, pambana tu na wivu wako full stop, viongozi wangapa wameteuliwa hawana sifa huyo tu ndiyo umeona.
Wivu,husuda,ubinafsi haviwezi kukusaidia keshakuwa na hutafanya kitu, pambana tu na wivu wako full stop, viongozi wangapa wameteuliwa hawana sifa huyo tu ndiyo umeona.
NDIO INAPOANZIA, kuna vingi sijakwambia hata handwriting yake iko poa sanandio ukomo wa akili yko, ishu ni sifa za kuwa pale!