Je, Rais Magufuli amevunja Katiba kwa kumteua Jaji Zepherine Nyalugenda Galeba kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa?

Let the judge say this, not any other person.

That isn’t an issue. The judiciary can put safeguards in place, subjecting such a rejection to a judge’s approval. Putting a main suit on hold because of a stupid appeal is avoidable!
 
Huyu Jaji hana sifa za kuwa Justice of appeal (JA). Alipandishwa na Jiwe kwa kuandika hukumu ya Kiswahili ambayo siyo mojawapo ya sifa za kupanda kuwa JA! Leo anaandika hukumu ya Mahakama ya Rufaa ambayo hana sifa za kuwa hapo maana kuandika Kiswahili siyo sifa mojawapo. Ukweli utasemwa hata kama hawautaki kuusikia. Ni ukweli ingawa unaweza usiwe mzuri kwa baadhi ya wahafidhina
 
Attachments

Na yeye ni LY? lia sana mpaka debu lijae machozi, ndo kashakuwa.
 
Shida yako nini maana sijakuelewa, yeye kupanda cheo, au kuandika hukumu kwa kiswahili.

Tz asilimia 98% tunajuwa kiswahl sasa hizo hukumu za kingereza mnamuandikia mtu asiyejuwa lugha hiyo ili iweje.

Au una chuki binafsi na jaji huyo.
Huyu Jaji hana sifa za kuwa Justice of appeal (JA). Alipandishwa na Jiwe kwa kuandika hukumu ya Kiswahili ambayo siyo mojawapo ya sifa za kupanda kuwa JA! Leo anaandika hukumu ya Mahakama ya Rufaa ambayo hana sifa za kuwa hapo maana kuandika Kiswahili siyo sifa mojawapo. Ukweli utasemwa hata kama hawautaki kuusikia. Ni ukweli ingawa unaweza usiwe mzuri kwa baadhi ya wahafidhina

Mods najua mtafuta uzi huu and you might be justified maana ni msumari kwa uhai wa JF yetu!
 
Shida yako nini maana sijakuelewa, yeye kupanda cheo, au kuandika hukumu kwa kiswahili.

Tz asilimia 98% tunajuwa kiswahl sasa hizo hukumu za kingereza mnamuandikia mtu asiyejuwa lugha hiyo ili iweje.

Au una chuki binafsi na jaji huyo.
You must be crazy, ishu ni sifa za kuwa apel. Daktari hawi dakitari bingwa kwa vile kaandika patients history kwa kiswahili, no huyo ataua watu! hana expertise ya kuwa daktari bingwa.... kwaheri....
 
Wivu,husuda,ubinafsi haviwezi kukusaidia keshakuwa na hutafanya kitu, pambana tu na wivu wako full stop, viongozi wangapa wameteuliwa hawana sifa huyo tu ndiyo umeona.
 
Then you have come to your senses! Umekubali kuwa hana sifa, then let us close this ! Lakini kumbuka huyu anatoa HAKI kama hana weledi unaotakiwa kama siyo wewe ataumiza anayekuhsu.

Back
Top Bottom