Tetesi: Je, Rais Magufuli anaondoa mifumo ya kitaasisi na kuweka mifumo-watu?

Tetesi: Je, Rais Magufuli anaondoa mifumo ya kitaasisi na kuweka mifumo-watu?

Hili ndo swali aliloshindwa kulijibu kule Kampala sababu kubwa ilikua hakuelewa swali linataka nini ndo maana amekomaa kutengeneza mfumo wa mtu kuwa na nguvu zaidi
 
Kilangi na mashamba watachomwa moto siku moja huwezi ukafikia nafasi ya kuitwa dokta wa sheria harafu ukaja kupitisha miswada usiku wa maanane kwa ajili ya kumlinda mtu mmoja stupido kabisa
Kabla hajachomwa moto inabidi waTz tumshughulikie siku moja
 
Copy and paste from Nyerere ndie muasisi wa one man show ambalo jibu lake huwa ni total failure kila angle,yote haya ni marudio tu.Samaki ujikaanga Na mafuta yake mwenyewe
Nyerere mna kosea wala hakuwa one man show. Kamsome ktk project nyingi alivyoshirikiana na wenzake..
 
Hili ndo swali aliloshindwa kulijibu kule Kampala sababu kubwa ilikua hakuelewa swali linataka nini ndo maana amekomaa kutengeneza mfumo wa mtu kuwa na nguvu zaidi
 
Mi nitamwomba wapitishe hati ya dharura kuwa wanaume wote watatakiwa kurudi majumbani kwao kila baada ya siku moja au apate ruhusa kwa msajili wa vizazi ,ndoa na vifo haaaaaa utaona wanaume wote akili zinawajia mpaka sasa hawajaona bado kuwa wanakwenda hatua kwa hatua mpaka ujikute kutoka nyumbani kwako,kula mpaka kwa idhini ya msajili haaaaa
 
Naliona Taifa langu likirudishwa nyuma na sisi wenyewe ila hasahasa ma CCM yaliyojaa viongozi wastaafu wasiokemea lolote baya kisa wanakula bure ..wanatizama tu tukienda ktk giza
 
Back
Top Bottom