Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Chawa wana sifa kuu mbili. Kwanza, ni wanyonya damu. Na pili, hawawezi kuishi bila kuwapo uchafu
.Je, Rais Samia alipotangazia dunia kuwa 'waaacha machawa wangu' alijua madhara yake? Je, hakujua na hadi leo hajui?
Je, uchawa umegeuka sera ya CCM? Je CCM inafaidikaje na uchawa na machawa?
Je, kwanini binadamu mzima anakubali kufananishwa na kulinganishwa na chawa? Je, huu ni ushahidi kuwa machawa na wafugaji chawa wote wana uwezo mdogo wa kujisimamia? Mie nauliza tu.