Najiuliza je akitoka madarakani je wataendelea au watatoweka
Na je kwa nni na yye asione sababu yakuona kuwa wanamnafikia
Na je kwa nni asiwaulizae kuwa je mtakuwa chawa wangu mpka nitakapokuwa naishi kizmkazi au kisa nipo Mgogoni na chamwino
Je hao wanaofanya hayo wanaofanya hivyo wanaoata faida gani ??
Je kizazi Chao wanakuambia na kukifundisha kuwa uchawa ni jadi kwao na mbona kma ipo TANZANIA TU JE SAMIA NDIO ANAPENDA AU WAO NDIO WANAPENDA?