The got
JF-Expert Member
- Jun 26, 2021
- 367
- 390
Wewe acha hizo. Luna amani gani? Amani na utulivu hujui tofauti yake?Nchi imekaa na Amani marekani huwa hapendi Nchi zenye Amani huwa anapenda vurugu apate pa kuuza siraha
Niwatu wangapi wanaumia kwa katiba hii na wapo tayari kuibadilisha Ila walaji wasio haki wana tumia jeshi kukandamiza wanyonge hawa?
Miaka zaidi ya 30 kabla ya Uhuru tulikuwa watulivu namna hihii, je, kwanini tulidai Uhuru. Utulivu sio lazima ni amani.
Lete tume huru ya uchaguzi uone kama mtatukana na kuonea watu namna hii