Je, Rais Samia kawa-win USA?

Nchi imekaa na Amani marekani huwa hapendi Nchi zenye Amani huwa anapenda vurugu apate pa kuuza siraha
Wewe acha hizo. Luna amani gani? Amani na utulivu hujui tofauti yake?
Niwatu wangapi wanaumia kwa katiba hii na wapo tayari kuibadilisha Ila walaji wasio haki wana tumia jeshi kukandamiza wanyonge hawa?
Miaka zaidi ya 30 kabla ya Uhuru tulikuwa watulivu namna hihii, je, kwanini tulidai Uhuru. Utulivu sio lazima ni amani.
Lete tume huru ya uchaguzi uone kama mtatukana na kuonea watu namna hii
 
Marekani hana upendo na Nchi yeyote hana huruma na yeyote wao wapo after money tu ni wazee wa fursa tu, na hasa kuuza siraha kwa kutengeneza chokochoko na migogoro mingine
 
Vipi kuhusu bandari ya Bagamoyo hakuna Chinese connection?
 
Tatizo ni ufahamu wako mdogo. Ungejua US huwa wanalawiti hata ndugu zao wa damu kama UK, usingeleta thrd ya kipuuuzi kama hii. Nina hakika CIA inafahamu jeuri na upuuzi wa Samia. Wanafahamu hata ni nyumba ndogo ya nani. Wanafahamu nini hajui kabisa na nini anajua. Wanafahamu apewe nini ili afurahie bila kipimo. Kama haya huyajui. Muulize Angela Merkel na simu zilizoelezwa na Snowden!
Kwa ujumla acha thrd za kipumbav kiasi hiki.
 
Kwani wewe unataka nini sasa? Marekani aje Amani hii ndogo ifutike kabsa au ubakie na Amani hii ndogo ambayo mungu anaendelea kuilinda licha ya changamoto kiasi za uonevu wa baadhi ya Polisiccm na viongozi wao
 
USA has nothing to do with siasa zenu za kipumbavu.
 
Marejani inawatu wenye akili sana kuliko CCM yote, zaidi yayote inawatu wasio na njaa kuliko CCM wote.
Hawawezi kunyamaza, itakuwa mama anjibembeleza huko kimya kimya.
Ndani ya Sikh chache zijazo tutashuhudia mkubwa.
CCM Italia soon!
Endelea kujilisha upepo
 
WANANCHI WA TANZANIA HAWAPO TAYARI NA HAWANA MUAMKO WOWOTE WA KUBADILI KATIBA KWA SASA.
 
Vipi kuhusu bandari ya Bagamoyo hakuna Chinese connection?
Hili suala la wachina kujenga Bandari bagamoyo litaiweka serikali ya awamu ya sita njia panda kwa mahusiano yake na Marekani. Miradi mingi ya China hapa Africa imekuwa ni za kifisadi na hasara nategemea serikali kufanya utafiti wa hali ya juu kabla kuanza ujenzi huo
 
Mpaka sasa China hawajawekeza kijeshi wala kiuchumi Tanzania, wakati wa serikali ya awamu ya tano ndio tulianza kupokea misaada kutoka China lakini haikuwa mikubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…