Je, Rais Samia Suluhu ndo Deng Xiaoping wa Tanzania?

Polee, una vichengachenga vya akili huwezi nielewa kiukweli! Nawewe tukufananishe na yule bibi muislam fox eeh anayependa iyok kusomea ujinga!!
Ni vizuri ukajibu swali uliloulizwa!
 
Tanzania inaweza kua inarudishwa nyuma kutokana ukweli kua vijana wengi sio wazalishaji wapo kwenye uchuuzi mdogo mdogo na hii dhana ya machinga free ni kiua akili ya ubunifu,Mama anaweza kua na nia njema lakini nchi haita nufaika kitechnolojia kwa watu wake wanasubiri bidhaa nje ya viwanda.
 
Sio kwamba vijana wazalishaji hawapo?? Hapana wapo sana. Kila mwaka VETA inatoa wahitimu wa kada mbalimbali ila shida ni kuwa Hakuna mechanism Nzuri ya kuwaingiza kwenye sekta ya uzalishaji.
Tuone reformations anazozidi kuzifanya, ikifika 2030 kama akiwa bado ni Rais itakuwa kipindi kizuri cha kuhitimisha hii hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…