Je, Rais wa China yupo Kizuizini kwa Uangalizi wa Jeshi?

"usaliti wa jemedari was marekani"kama ilivyotokea america itatokea na huku!!

Kwani yupo 📐

Rambo kashaingia mzigoni!
 
mimi sipo fire mda huu,akaunti hii inatumiwa na watu wengi mzee kwasababu wanaikutaga haikuwa logged off kwahiyo kila mtu akikuta anatumia...magine nipo kibaha mda huu
Ni kweli mkuu niliikuta Upanga fire Kariakoo na mimi kwa sasa niko Mjini Moshi muda huu ila nakushauri bafdili Paswed number mkuu.
 
MOSSAD LEVEL ZAO ENTEBE
 
Eti Xi Jinping upo kizuizini ?
 
Entebe kwenyewe idd Amin aliamua kuiruhusu ndege kutua sababu ilikataliwa kutua kwingine, kimsingi aliwaokoa,wakaja kivita wakati Amin anasubiri waje kuchukua watu wao
Wanajua Sana kujipaisha,TUMEUONA Kwa macho wakishirikiana na America LAKINI Bado wanatulazimisha kuamini picha za Rambo.
 
Haya maswala ya maggid ngoja nimuulize kwa simu
 
USA USA USA USA USA 🇺🇸 🌎 USA USA... CHEZEA VINGINE SIO CIA NA MOSSAD... KATA KICHWA CHA NYOKA MWILI UTAOZA WENYEWE.... PUTIN ANACHIMBA KABURI LAKE KIMYA KIMYA
Cfap
 
Wana wawangia tu. Utasikia kiduku kakamatwa na jeshi yani Waingeleza kutoka kuwa taifa kubwa Duniani hadi kuwa wambeya mbeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…