Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Ila vyombo hivi vya habari sijui kwa nini wanapenda kumzungumzia hivi Xi Jinping kila mwaka hasa miaka hii ya karibuni
Xi Jinping kawashika pabaya
Ila vyombo hivi vya habari sijui kwa nini wanapenda kumzungumzia hivi Xi Jinping kila mwaka hasa miaka hii ya karibuni
Nimependa sana reply yake... hataki kutumia nguvu bila faida..We mtu utakuwa una maisha yasiyo na stress kabisa. Safi.
Itakuwa onyo zuri kwa madikteta wengine kwamba mwisho wao unaweza kuwa mbaya sana.Kwa nini ?
Kuwekwa kizuizini na PLA inakuwa vipi onyo kwa madikteta wengine ? Na hao watakao muweka kizuizi unawafahamu ?Itakuwa onyo zuri kwa madikteta wengine kwamba mwisho wao unaweza kuwa mbaya sana.
Vyombo hivi vya habari vya magharibi sometimes huwa vina shida mahalaEt mwandishi ana-amini.Yaani huyo mwandishi wa BBC anataka tusome anayoamini, mambo ya IMANI yaani kuhusu China na Xi...??
Ataendelea na ndoto za alinacha
Bila shaka maana wana hangaika sana juu yakeXi Jinping kawashika pabaya
USA USA USA USA USA 🇺🇸 🌎 USA USA... CHEZEA VINGINE SIO CIA NA MOSSAD... KATA KICHWA CHA NYOKA MWILI UTAOZA WENYEWE.... PUTIN ANACHIMBA KABURI LAKE KIMYA KIMess chiken
Kabisa, maisha ni mafupi haya na mambo ni mengi😂😂😂Nimependa sana reply yake... hataki kutumia nguvu bila faida..
Unajua karibu kila mwaka Xi anazushiwa habari kama hizi ?Ukiona habari kutoka China imevuja basi jua inaweza kuwa ya kweli. Rejea Jack Ma
Mkuu China ishavurugwawacha kujifanya mjuaji wewe,yaani kikitokea kitu nchi nyingine eti MOSSAD,CIA mbona huko USA wakivurugana hatusemi nchi nyingine ziahusika...basi tuseme CHINA nae kiboko kwa sababu sasa anaitoa USA kwenye vyama viwili kwenda kwenye vyama vingi hapo vp!!!
CHINA limekuwa bonge la dude dunia nzima hao MOSSAD na CIA wapo hapo hapo wanaangalia,USA na ISRAELI watachezea wanamgambo wa middle east tu na si wengine wanaojielewa
Huyo jamaa tangu aseme Ukraine itaishinda Urusi na Putin atakufa nilianza kuona kabisa ana changamoto ya afya ya akili 🤣🤣wacha kujifanya mjuaji wewe,yaani kikitokea kitu nchi nyingine eti MOSSAD,CIA mbona huko USA wakivurugana hatusemi nchi nyingine ziahusika...basi tuseme CHINA nae kiboko kwa sababu sasa anaitoa USA kwenye vyama viwili kwenda kwenye vyama vingi hapo vp!!!
CHINA limekuwa bonge la dude dunia nzima hao MOSSAD na CIA wapo hapo hapo wanaangalia,USA na ISRAELI watachezea wanamgambo wa middle east tu na si wengine wanaojielewa
Bila shaka maana wana hangaika sana juu yake
USA USA USA USA USA [emoji631] [emoji289] USA USA... CHEZEA VINGINE SIO CIA NA MOSSAD... KATA KICHWA CHA NYOKA MWILI UTAOZA WENYEWE.... PUTIN ANACHIMBA KABURI LAKE KIMYA KIMYA
Vyombo hivi vya habari vya magharibi sometimes huwa vina shida mahala
Wewe jamaa huwaga unakurupuka sana.USA USA USA USA USA 🇺🇸 🌎 USA USA... CHEZEA VINGINE SIO CIA NA MOSSAD... KATA KICHWA CHA NYOKA MWILI UTAOZA WENYEWE.... PUTIN ANACHIMBA KABURI LAKE KIMYA KIMYA
Halafu mlivyo wajinga kama ni kweli USA imesababisha machafuko kwa nchi nyingine je hiyo ndio demokrasia? Au ustaarabu ambao west hua wanauhubiri?USA USA USA USA USA 🇺🇸 🌎 USA USA... CHEZEA VINGINE SIO CIA NA MOSSAD... KATA KICHWA CHA NYOKA MWILI UTAOZA WENYEWE.... PUTIN ANACHIMBA KABURI LAKE KIMYA KIMYA
Tuombee yatokee kuanzia januari mosi mwakani ili tuanze upya.Kama china wakabadili mfumo wao wa utawala kuanzia jeshini basi kuna uwezekano mkubwa sana na Tanzania pia yakatokea mabadiliko makubwa kwenyebitawala hasa mahusiano ya jeshi na viongozi wa serikali.