Je, Rais wa Tanzania ipo siku atakuwa na la Kujibu kwenye mamlaka zijazo juu ya Kupotea kwa Ben Saanane?

Kwenda zako huko kichwani hamnazo kwani JPM ni personal boardgard wa huyo mtu?
 
Chadema waliweza ku-track mazungumzo ya Zitto na kina Jack Zoka, Rostam nk kwa ufanisi wa kiwango cha juu. Hivi kwa utaalam wao ule wameshindwa kabisa kumtambua mtu aliyemtumia ujumbe ule Ben?

Kupotea kwa Ben kunatatiza sana kukichagizwa na kauli za mjumbe wa kamati kuu Mh Kubenea kwamba Ben hajatekwa wala kupotea, bali yupo kajificha sehemu salama kwa sababu anazozifahamu yeye na waliopanga naye.
 
Eti kijana mvuta bangi anahoji PHD ya mkuu wa nchi?? Anahoji kama nani? Yeye ndo mamlaka iliyomtunuku hiyo PHD? Vijana bangi zinawasumbua!
 
Mkuu Britannica, maadam hakuna ajuaye kilimtokea nini Ben, na ni nani aliamrisha na aliyetekeleza, nashauri, sio busara kuelekeza kidole to specific people.

Ben was one of the very intelligent young fellow, kupitia michango yake humu jf pia kuna issues mimi nilikuwa nazi raise humu against Chadema, we were sailing in the same boat na Ben Saanane, one of such issues ni hii.

Soma uone Ben Saanane alichangia nini?, hivyo it might as well be an inside job.

NB.
Kwa vile issue ya kutoweka kwa Ben Saanane ni so emotional na sentimental, naomba sana tuzingatie neno "could be".

There is a proof beyond reasonable doubt Chadema huwa inawafanya nini baadhi ya watu ambao ni threat kwa status quo yake. Rejea ile video "bonafide genuine " na kilichomkuta Kagenzi.

Tundu Lissu aliposhambuliwa pia nilitoa mangalizo yafuatayo




Kitu ambacho nina uhakika nacho 100% sure ni whoever aliyempoteza Ben Saanane will pay for sure.
Whoeve aliyemshambulia Lissu, will pay for sure.
Whoever anayefanya uovu wowote lazima atalipwa kupitia the law of Karma, what goes around, cames around.
P
 
Ni wazi kuwa matukio ya namna hiyo ni Modus Operandi ya CHADEMA...rejea video ya Lwakatare na Ludovic kuhusu mpango mkakati wa kupaka matope serikali kupitia utekaji.
Yaani wewe bado upo nyuma sana ,hivi haujajua kilichookea kwenye ile video ya ludovic na lwax? Ulisoma ripoti yake? Mwigulu alivyompa ludovic elfu 50?
 
Huyu dikteta muuaji ipo siku uovu wake utaanikwa hata kama atakuwa yuko kaburini
 
Wazazi inasemekana wamevuta ngawira wawe kimiya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…